Malawi is broke: Sends government workers on forced leave

kama kalidhani kutawala ni sawa na vikao vya harusi na kugombana na majirani

anagombea mpaka wakati hata pesa ya mbegu hana
 
It's a blow to public servants and signifies that they will receive a half salary upon the return to the work.
It is also a blow to her.Malawi presidential election will be held next year on 20th may 2014.She will get the reactions of the malawians in the voting ballot.
 
What about MDF soldiers, are they also on forced leave? :becky:


MDF Wako kazini ila hali ni mbaya.Vikosi havina hela za kununulia mafuta kuweka kwenye magari yao.Na hawana hela za bajeti za kuendeshea shughuli zao za kila siku kama kununua vipuri n.k

Wazabuni hawajalipwa wengine wamesusa kuendelea kuhudumu zabuni za jeshi.Ni chaos.

Nadhani kuwapa forced leave anaogopa!
 
Da mwenyezi mungu ampe nguvu huyo mama asije akaadhirika jamani................................................! Sent via blackberry bold 9900 smart phones
 
Haaa wazee wametafuna biliöni zaid ya mia!,panya wa malawi wana meno makali kuliko wa tanzania
Nakwambia! Ilipofumuka hii scandal wenyewe wanaiita "Cashgate" watu lukuki walikamatwa na mabilioni ya kwacha katika buti za magari, kwenye magodoro na kadhalika. Kampuni hewa nyingi zilipwa mapesa chungu mzima na hazina bila kutoa huduma yoyote kwa serikali.
 
It is also a blow to her.Malawi presidential election will be held next year on 20th may 2014.She will get the reactions of the malawians in the voting ballot.

Na kwa bahati mbaya kwake mama, wengi waamini kwamba uwizi wa mapesa tele ya hazina kwa sehemu kubwa ulilengwa kukifaidisha chama chake katika kampeni za chaguzi wa mwakani.
 
it can not even be trusted by lenders?

Lenders/Development partners have withheld their money until the "cashgate" theft is dealt with acceptably, and an appropriate mechanism is put in place to curb looting in future.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom