Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

Those that are advocating for war do not know what they are talking about. Both Tanzania and Malawi have good points to make. Both countris have genuine reasons to claim what they currently claim. It’s a question of advising them wisely so they may conclude their discussions ammicably and peacefully.....
Hii umeikopi wapi?
 
Vipi wadau huyo bi shosti hajatangaza vita? Nadhani huu ni muda muafaka kuirudia kazi yangu ya asili!
 
Mama Banda anachotafuta ni kura tu wakati wa uchaguzi, wamalawi wana dhiki kubwa ya njaa vita hawaviwezi ni kampeni tu.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
ndani ya nchi yetu kuna tatizo......wamalawi walishaingia ndani ya nchi yetu na kupata nyadhifa nyingi sana tena za juu....
 
afadhali nimekusikia mkuu Kimbunga maswala ya kijeshi huwa nakuaminia sana, yani pamoja na madudu yote inayofanya serikali yangu, lakini niko tayari niwe ata chambo kuitetea nchi yangu, hao Wamalawi wasithubutu kabisa.

Mkuu hakuna shaka hata kidogo juu ya jeshi letu. Watu wanaonekana kukosa uzalendo na kuitakia mabaya nchi. Ikumbukwe kwamba nchi huungana na kuwa kitu kimoja hasa ikichokozwa ama ikiwa vitani. Ni muhimu kujitoa mhanga kwa nchi yako. Nakuhakikishia kwenye medani ya vita Malawi ni wachanga sana kulinganisha na jeshi letu na hawawezi kuthubutu. Sisi tupige siasa tu kwa raha zetu nchi inalindwa na vijana mahiri ambao ni wakufunzi wa majeshi mengi ya ukanda huu wa Afrika pale TMA.
 
Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!


Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema mama ameshikiria kuwa wanajeshi wake waliopo ktk ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tz kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

No cause for alarm

Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.'


In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.


"This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement," said Chiume.


He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,' concluded Chiume.
Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi.

Source:Malawi says lake row with Tanzania to be resolved amicably | Malawi news, Malawi - NyasaTimes breaking online news source from Malawi

Haya sasa sijui tumuamini nani kila mtu anakuja kivyake
 
kikwete atampeleka mahakani na mahakama itamwamuru Joyce Banda asitishe utafiti wa mafuta. kikwete ndo nia yake kubwa ya kutatua mataizo nayo ni mahakama, kwa hiyo tusubirini mahakama itaamua nini juu ya huu mgogoro. hahahahahahahaahahahahahahaha!!!!
 
Mama banda akimuahidi kajamaa cha magogoni pale kati.....aah! Kwisha habari yetu.
 
Lile zimwi la Kamuzu Banda la kutaka kuinyang'anya Tanzania Ziwa Nyasa bado linamsumbua kwani nafikiri ni usia alioachiwa kutoka kwa baba au babu yake Banda.

Huyu Mama amekuja na moto mbaya na ni kisumbufu kingine katika mipaka yetu. Tukumbuke anajilainisha kwa wazungu ili apate misaada na sasa anataka kuvuka mipaka kuwafurahisha wazungu wanaotafuta mafuta baada ya kugundua upande wa malawi hawajajaaliwa. Ikumbukwe pia kwamba alihalalisha ndoa za jinsia moja na kushusha thamani ya fedha yake by 50% ili apate misaada na baada ya kushindwa kuinua uchumi anaanza uchokozi.

Akileta ujinga afanyiwe alichofanyiwa Idd Amini aende huko kwa waume zake Ulaya
 
Tuombe mungu isitoke, mgogoro huu utatuliwe kwa meza ya majadiliano!

Lakini ikibidi kulinda utu na heshima ya taifa letu, hata kwa vita tutajibu, tena jibu letu litakuwa kuu!

Hahaaa! Nimeona jezi za jwtz kibao maeneo yale...asiye akafikiri tumelala
 
Vita inakuja wakati hatuna uzalendo,tunaenda kupigwa na rais wa kike tukiwa na rais mwanamme asiyejulikana
 
Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!


Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema mama ameshikiria kuwa wanajeshi wake waliopo ktk ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tz kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?


Jana nilisema huyu kibaraka wa mabeberu anakwamisha Afrika kuungana.

Na hapa Tanzania Watu wanadhani kuwa commander-in-Chief ni kupigiwa salute tu.Nisingeweza kuchezewa na vitaifa vidogo kama Malawi tena visivyo na misimamo yao(ingawa Tanzania Tunaelekea huko pia) hadi kuridhia masharti ya aibu kabisa ya ndoa za jinsia moja na kushusha sarafu kwa amri ya mabeberu.Taifa lenye fedheha ya kususia mkutano wa AU kwa shinikizo la wakoloni wa zamani(ingawa hata sisi tuna wakoloni weusi wa kisasa zaidi)

Tanzania tusifanye masikhara na hili.Tutumie vizuri sheria za kimataifa na Diplomasia katika hili na ikishindikina tufanye Millitay deployment(hii ni mbinu ya kushinikiza diplomasia pia kama Taaluma yangu inavyoniongoza)

Tufanye Rapid deployment kwa jeshi la Ardhini kwenda mipakani.tupeleke vifaru na Marubani wa Jeshi la Anga wafanye patrol bila kuingia ndani ya Ardhi ya Malawi (kwa kuwa tutakuwa upande wa aggressors kulingana na sheria za kimataifa)

Watakuja mezani tu na jumuiya ya kimataifa haraka itaingilia na tuta-solve once and for all.Ingawa hapa ni lazima tuwe makini kwani Uingereza na Marekani watakuwa sympathetic sana na huyo kibaraka mkubwa Joyce Banda

Napata hasira sana kuona serikali ilivyolinda wezi wa fedha zetu.Tungeweza kufanya Shopping kubwa ya Millitary hardwares>Tungeweza kuwa na sophisticated fighter Jets,bombers n.k Museveni hivi juzi tu kafanya bonge la shopping na kuvunja rekodi ya A.Mashariki.Rwanda wana fighter Jets za kutisha. Ndiyo maana sitaki suluhu na wezi wakubwa wa fedha zetu zaidi ya adhabu ya kifo tu

Vitisho vya vitaifa vidogo kama malawi vinatokana na kiburi kutokana na sisi kuwa taifa corrupt.siwezi katika maisha yangu siku moja niitwe Amiri Jeshi mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama halafu nifanyiwe mchezo wa aina hii.

We need a strong military especially in our dangerous continent and sub-region. I hope one day our Government will make EDUCATION, HEALTH, ENERGY and INTERNAL SECURITY the priorities they ought to be. When they do this, then like the military personnel proudly displaying in the pictures, other Tanzanian citizens will start to give a damn about our country rather than the "all man for himself, God for us all" attitude that is endemic in Tanzania


572006_250px-DANEL0094_jpgc5294e79e3390cb99f311b1e0c1998b1.jpg 582481_1_jpgf3ccdd27d2000e3f9255a7e3e2c48800.jpg 572039_Malatsi_jpgf188f9a5949e791a9edc42dfb1943d10.jpg 572006_250px-DANEL0094_jpgc5294e79e3390cb99f311b1e0c1998b1.jpg 582527_5_jpg032b2cc936860b03048302d991c3498f.jpg SANDF-1024x696.jpg 583329_1_jpgf3ccdd27d2000e3f9255a7e3e2c48800.jpg
 
Tuombe mungu isitoke, mgogoro huu utatuliwe kwa meza ya majadiliano!

Lakini ikibidi kulinda utu na heshima ya taifa letu, hata kwa vita tutajibu, tena jibu letu litakuwa kuu!

uwezo wa kumpiga tunao, na sababu ya kumpiga tunayo; hapo bado nia tu.
 
Hakuna vita rahisi, changamoto ya kwanza, sehemu za kwanza kuathirika na hii vita itakuwa Mbeya, Iringa na Ruvuma. Kumbukeni kuwa hawa ndio 3/4 ya big 4 wetu wa misosi! BUT anyhow respect should always be demanded hata ikibidi kwa suicide.
 
Vita inakuja wakati hatuna uzalendo,tunaenda kupigwa na rais wa kike tukiwa na rais mwanamme asiyejulikana

Huyu mama ana njaa ya kuolewa na vijana wa ki-TZ huyu!

Vijana waachiwe wakamwoe kabisa wala asipatikane wa kuwazuia!

Yaani tungekuwa na amiri jeshi shupavu kama Baba wa Taifa (R.I.P) sasa hivi tungekuwa tunashuhudia kichapo cha mbwa mwizi!
 
kwali tuungane tupiganie nchi yetu,japo tuna mzigo mkubwa wa mambo ya kufanya kulikomboa taifa letu
 
Ndugu, VITA si sawa na mtu kwenda kupiga mswaki bafuni; wewe ngoja utaona kitakachompata huyu mama endapo chaguo la AMANI litaonekana kumshinda hadi mwisho.

Huyu mama ana njaa ya kuolewa na vijana wa ki-TZ huyu!

Vijana waachiwe wakamwoe kabisa wala asipatikane wa kuwazuia!

Yaani tungekuwa na amiri jeshi shupavu kama Baba wa Taifa (R.I.P) sasa hivi tungekuwa tunashuhudia kichapo cha mbwa mwizi!
 


KUNA UGOMVI WA CHINI CHINI KATI YA TZ NA MALAWI CHANZO KIKIWA NI MAFUTA YALIYOPATIKANA KWENYE BONDE LA MTO SONGWE,KALONGA,ITUNGI PORT NA KYELA KWA UJUMLA,SASA KAMA MNAVYOJUA HILI NI ENEO LA MPAKA NA MAFUTA HUKO CHINI YAMETAPAKAA KOTE BILA KUJALI MPAKA HUKU JUU,

MWAKA JUZI MALAWI WALIFANYA DRILLING HAPO MPAKANI WAKAGUNDUA KUNA MAFUTA NA WAKAWA TAYARI WAMESHAANZA MIKAKATI YA KUYACHIMBA,BAADA YA WATZ KUPATA INFO ZA KIINTELIJENSIA NAO FASTA MWAKA JANA WAMEPELEKA TAYARI MAKAMPUNI MA2 AMBAYO YATAAANZA UCHIMBAJI SOON ILA KWA UPANDE WA TZ SO TECHNICALLY TUTAKUWA TUNASHARE MAFUTA HUKO CHINI ILA HUKU JUU KILA M2 ATAKUWA ANACHIMBA KWAKE KITU AMBACHO MALAWI HAWAKUKIFURAHIA NA HAWAKIPENDI!

MWAKA JANA HUO HUO MALAWI WALIFANYA YAFUATAYO 1.WALINUNUA TOKEA USA SPEED BOAT 4 ZENYE UWEZO WA KUSHAMBULIA NA KUFANYA DORIA(zipo tayari ziwa nyasa)

2.WAMEFUNGA "MILITARY RADAR" (inauwezo wa kudetect hata kundi kubwa la watu watakao kuwa wanatembea ardhini kama askari wa miguu) AMBAYO IMETOKA ISRAEL NA KUFUNGWA NA WAISRAEL JIRANI KABISA NA BODA YA KALONGA,RADA HII IMEFUNGWA KATIKA MILIMA ILIYOPO UPANDE WA KULIA UKISHAINGIA MALAWI KM KAMA 5 HV TOKEA MPAKANI

3.MWISHONI MWA MWAKA JANA WAKATI RADA YA JWTZ ILIYOPO KYELA JIRANI NA ITUNGI PORT IKIWA "OFF AIR"(Rada zote huwa zinakuwa na muda wa maintainance kwa siku,wiki au mwezi kipnd hicho huwa inazimwa) MALAWI WALIPITISHA NDEGE 2 ZA KIVITA (WAKIJUA KUWA RADA YA KYELA HAIPO HEWANI) HAIKUJULIKANA NI AINA GANI ZILIANZIA PWANI YA MBAMBA BAY,ZIKIAMBAA NA ZIWA NYASA ILA UPANDE WA TANZANIA ZIKAJA HADI LITUHI SONGEA ZIKAPITA MANDA ZIKAJA HADI MATEMA BEACH KYELA KABLA YA KUINGIA MALAWI (Ikumbukwe kuwa rada ya jwtz iliyopo songea haioni hadi ziwa nyasa kutokana na milima iliyopo katikati

TISS NA JESHI WANAHOFIA SANA HII KITU KWASABABU TAASISIS ZOTE NYETI TAYARI JK KASHAZIGAWA KISIASA NA KIDINI,JESHI LINA MAOFISA NA MAKAMANDA WASIOLIJUA JESHI VIZURI WENGI WAO WANAINGIA JESHINI BAADA YA KUKOSA AJIRA HUKO MTAANI NA DEGREE ZAO THEN NDAN YA MWAKA M1 WANAKUWA NA NYOTA 2! HATA UWEZO WA KU-MANAGE ASKARI 10 HANA! UTAKUTA NI AFISA WA JESHI!

hili liliwahi kusemwa humu

 
Back
Top Bottom