Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malawi and Tanzania to resolve the border issue over 'Lake Malawi' amicably

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Yericko Nyerere, Aug 3, 2012.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Rais wa Malawi bibi Joyce Banda leo tarehe 3/8/2012 atalihutubia taifa hilo kupitia vyombo vya habari vya nchi hiyo,

  Kwa mujibu wa msemaji wa serikali ya Banda anasema, suala la mgogoro wa mpaka na Tanzania litakuwa miongoni mwa mambo muhimu atakayoyazungumza!

  Ripoti za kijasu za Tz zinazopatikana kutoka Malawi zinasema kuwa Malawi imeshaivamia Tanzania na imeweka boti za kijeshi ziendazo kasi zenye makombora ya kilomita 5 katika Ziwa Nyasa na zinafanya doria usiku na Mchana.

  Na kujiimarisha zaidi bibi Joyce Banda amefunga Special Military Rader kataka milima iliyopo upande wa kulia ukishaingia Malawi katika umbali usiozidi km 5 kutoka boda ya Kalonga.

  Mama Banda ameshikilia kuwa wanajeshi wake waliopo katika ardhi ya Tanzania wataendelea kupiga doria usiku na mchana huku Meli za utafiti wa mafuta zikiendelea kuvinjari katika ukanda wa Tanzania, na haonyeshi kutikisika na kauli ya Tanzania kuwa asitishe utafiti wa mafuta ktk Tz!

  Macho na masikio ya watz wote tuyaelekeze huko leo kujua je Mama anaingia Vitani au analegeza msimamo?

  UPDATES:

  Rais Joyce Banda ameahirish kulihutubia taifa juu ya mgogoro wa mpaka na Tanzani na kuumuagiza Waziri wake wa Mambo ya Kigeni Ndugu Ephraim Mganda Chiume kulieleza taifa:


  Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Ephraim Mganda Chiume said on Friday that Malawi and Tanzania would resolve the border issue over Lake Malawi amicably.

  Briefing journalists through a prepared statement that he read at the Central Office of Information (COI) in Lilongwe, Chiume said Malawi was engaged in discussions with government of the United Republic of Tanzania to resolve the issue.

  Said Chiume: "The nation is hereby informed that there are on-going discussions between our two countries and that the Malawi Government is determined to reach an amicable solution with the government of the United Republic of Tanzania."

  Chiume further said that Malawi has rightful claim to the whole lake basing on the Heligoland Treaty signed by Germany and Britain – Malawi and Tanzania's old colonial masters.

  The treaty defines the border between the two countries as being the edge of the waters on eastern shore of Lake Malawi.

  The position of the Heligoland treaty according to Chiume, was further reinforced and adopted by resolutions of the African Union in 2002 and 2007 and its predecessor, the Organisation of African Union (OAU) in 1963 that states that ‘member states should recognize and recognize and accept the borders that were inherited at the time of independence.'

  The treaty in part, on article one states that: "German sphere of influence…to the South by a line which, starting on coast at the Northern limit of Mozambique follows the course of the river Rovoma to the point of confluence of the Nsinje; hence it runs westwards along the parallel of that point till it reaches Lake Nyasa [Lake Malawi]; hence striking Northward, it follows the eastern, Northern and Western shores of the lake to the northern bank of the mouth of the river Songwe."

  Chiume: No cause for anxiety

  The Foreign Affairs Minister who was flanked by Minister of Information, Moses Kunkuyu Kalongashawa, said that while they acknowledged Tanzania's claim to half of the Lake basing on common law,

  "It is Malawi's position that the principle which Tanzania depends upon applies only where there is no treaty."

  No cause for alarm
  Chiume also assured the nation that there should be no cause for anxiety or alarm as the two countries were engaged in discussions ‘so that an amicable solution is found on this long outstanding issue.'

  In the statement Chiume also condemned the misrepresentation in both the local and international media that there was rising tension between Malawi and Tanzania.

  "This is far from the truth because we are discussing in an open and cordial manner with a view of reaching an agreement," said Chiume.

  He also appealed to the media not to ‘cause unnecessary anxieties. Let us allow diplomacy to work,' concluded Chiume.

  Malawi and Tanzania have had rival claims over the lake from post-independence times and this has come to the fore over the recent gas and oil exploration licenses issued out by Malawi
   
 2. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  Vita hiyoooooooooo inaonyesha rangi zake kwa mbali.
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Tuombe mungu isitoke, mgogoro huu utatuliwe kwa meza ya majadiliano!

  Lakini ikibidi kulinda utu na heshima ya taifa letu, hata kwa vita tutajibu, tena jibu letu litakuwa kuu!
   
 4. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Je, amiri jeshi mkuu tunaye? Angalia, jamaa anaweza kuanza kuchekacheka wakati wa kutangaza vita watu tukadhani masihara kumbe ndo twafa.
   
 5. E

  Elizabeth Dominic Platinum Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 4,547
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Tuko tayari?
   
 6. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,921
  Likes Received: 83,432
  Trophy Points: 280
  Ngoja tuione hotuba ya huyo mama. Unajua atahutubia saa ngapi kwa saa za Afrika Mashariki ili tuitafute hotuba yake mtandaoni?
   
 7. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Ina maana wanajeshi wa Malawi wapo kwenye ardhi yetu afu tunawaangalia???
   
 8. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 479
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante Mungu maana sina ninachomiliki kwahiyo sina hasara yeyote mama njoo chukua na mlima kilimanjaro kenya wamekupa zawadi
   
 9. m

  maliyamungu JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 14, 2011
  Messages: 481
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  daah monday nikatafute visa yangu mmmh
   
 10. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,724
  Trophy Points: 280
  Kushinda vita kunategemea budget....Malawi wako fresh kiuchumi kwa sasa ukilinganisha na sie...wanaweza nunu silaha za kisasa...sisi kwa ukata huu vita tutaweza kweli. Si mliona ya Uganda ilivyotufanya tukose hata sabuni.
   
 11. v

  vunjajungu JF-Expert Member

  #11
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kama mbwai mbwai tu!
   
 12. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #12
  Aug 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,250
  Likes Received: 3,863
  Trophy Points: 280
  Na wana silaha nzitonzito! ndege na meli za kivita vipo tayari kwa vita!
   
 13. k

  kaeso JF-Expert Member

  #13
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Anahutubia saa ngapi kwa saa za hapa kwetu??
   
 14. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #14
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mi siko tayari na nafasi yangu atapigana SSRA!!
   
 15. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #15
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  JB anajua kabisa kuwa hawezi vita...ndani ya jeshi kuna mgogoro mkubwa
   
 16. naumbu

  naumbu JF-Expert Member

  #16
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 3,333
  Likes Received: 3,885
  Trophy Points: 280
  Inawezekana huu ni usanii wa kupotezea mambo muhimu ambayo yako hot kwa sasa, use your brain guys
   
 17. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #17
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  hata alie mi sipigani! Wawapeleke SSRA!
   
 18. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #18
  Aug 3, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hii ni chungu sana kuisema lakini inabidi! Tanzania tutapigana kwa ajili ya nini? Mafuta...? Ardhi...? Hivyo vyote siku hizi siyo mali ya Tz, ni mali ya wanasiasa wezi wachache wanaoingia mikataba ya kilimbukeni na kuwamilikisha wageni! Mimi nashauri kama vita ikitokea, wawekezaji waunde jeshi lao likapigane hiyo vita, maana wao ndo wanaofaidi hizo maliasili za nchi hii... Kwa nini ndugu zetu wakamwage damu kwa ajili ya mafuta ambayo watamilikishwa wazungu na washirika wao watuibie?!
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Aug 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Hapo Ndipo ninapo'miss Mwalimu Nyerere. hakuwa kiongozi Dhaifu.
   
 20. O

  OPTIMUS TZ JF-Expert Member

  #20
  Aug 3, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amiri jeshi wetu anafuturu kwa sasa pamoja na makamanda na wapiganaji ................umesema wanajeshi wa Malawi wako ndani ya TZ? au mimi ndo sijaelewa!
   
Loading...