Malaria yapata Chanjo na WHO imeithibisha, utafiti ulianza mwaka 1980

Kwa nini tusikubali kuchanjwa?

dpm21.jpg
 
Chanjo ya malaria miaka 40+ chanjo ya uviko masaa 40,
Wakati mwingine muwe mnaficha uelewa wenu, kwani kuni kuna kauli mtu unaitoa , tayari unakuwa ume expose uelewa wako wa mambo!!sayansi ya miaka ya 80, ni sawa na hii ya sasa?halafu wazungu kwao malaria sio inshu kabisa, ndio uwategemee hao hao watumie rasilimali zao kwa haraka kutafuta chanjo ya malaria wewe muathirika umekaa tu, ukisubilia!!hiyo COVID 19, kama isingewasumbua sana wao huenda hadi sasa chanjo ingekuwa bado kuanza kutumika hata kama ingekuwa imeshaonyesha mafanikio mazuri, unadhani ni pesa kiasi gani kimetumika kwenye tafiti za COVID 19?!!Na hata hayo masaa 40, ni yapi hayo ?acheni maneno ya vijiweni.
 
Back
Top Bottom