Elections 2010 Malaria sugu na zubeda

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Huyu hapa kachukua fomu kweli lol!!!! anataka kufanya nini?? mimi bado sijajua wanachotaka kufanya!!!!
DSC_5191.JPG
 
kwa jinsi watanzania tulivyo mambumbumbu kama watangazaji wa clouds FM, chenge anaweza kupewa uspika hivi hivi tunaangalia!!!!!!!! wakati inajulikana anataka kwenda kurekebisha kitu gani, clouds waropokaji tu na wanawania UDC hasa kibonde mshamba tu.
 
na jamaa ana mtandao wa nguvu na mkubwa sana JK mwenyewe anamkubali sema alitumia ujanja wa kutokwenda kumpigia kampeni akamtuma mke wake. huyu jamaa akichukua nadhani hata mataifa ya nje especially UK watatushangaa sana
 
Hivi Malaria Sugu ataambulia hata ukuu wa Wilaya au alikuwa anashikia mapembe.
 
Huyu njemba hana mshipa wa aibu hata kidogo. Kashifa zote hizo bado anataka uongozi? Lol!
 
Hivi Malaria Sugu ataambulia hata ukuu wa Wilaya au alikuwa anashikia mapembe.

Ukuu wa wilaya?? Hawa jamaa wakishikwa mkono,,au hata kupewa sahani ya ubwabwa na hao waheshimiwa wanaowapigia debe mbona inatosha kabisa,,,
 
Kama chnge akishinda u spika watanzania tutaonekana watu tuliokosa fikra, uwezo wa kufikiri kabisa. Yaani mtu ambaye ana mikesi mingi tu mahakamani ndiyo agombee uspika!!!! Hiyo ni kampeni ya kumuondoa Sitta ili mambo yaende kinyemela nyemela. Eeehe Mungu linusuru taifa hili.
 
CCM wamemwambia Chenge achukue form ili watu wawe na divided attention waache kuwaza matokeo wawaze CHENGE na kumdiscus daily
 
Back
Top Bottom