Malaria Sugu is the Clown of the year

Ntemi Kazwile

JF-Expert Member
May 14, 2010
2,182
307
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake.
MS na watu wa aina yake ni wale ambao hutafuta mchawi kila mara mambo yanapokwenda mrama, wanatafuta mtu mwingine wa kumlaum ili mradi wao wabakie na utukufu. Watu hawa na mzigo mkubwa kwa jamii zao
 
Udini ni ajenda ya wahalifu wa aina ya akina Dudus Coke, wanatafuta kuhurumiwa na wananchi eti wanaonewa!
 
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake.
MS na watu wa aina yake ni wale ambao hutafuta mchawi kila mara mambo yanapokwenda mrama, wanatafuta mtu mwingine wa kumlaum ili mradi wao wabakie na utukufu. Watu hawa na mzigo mkubwa kwa jamii zao

Kama kweli unamaanisha unachokisema, mbona ni rahisi kutokumuona tena, wewe cha kufanya nenda kwenye profile setting yako muadd kwenye ignore list basi, maleria sugu kwako atakuwa historia, lakini sisi wengine hii ndio comedy yetu yaani ni burudani tosha kabisa.
 
Nashukuru kwa ushauri mzuri
 
MS ana kazi moja tu anayofanya hapa JF, kuwaondoa watu kwenye mijadala ya maana ili wamjibu yeye hoja zake za kipuuzi, yeye ni mchokonozi ili kuwapotezea muda wa kufikri jinsi gani ya kuwashughulikia mafisadi. MS NI KUWADI WA MAFISADI
 
Huyu ndie master wa jf
soma threads zinazomhusu uone alivyokuwa popular
hepinyuyia ms
 
Kila nikisoma makala za ndugu yangu MS najutia kujiunga JF, najuta kwa sababu katika maisha yangu ya kawaida sidhani kama ninaweza kuwa mshirika na watu wa aina yake.
MS na watu wa aina yake ni wale ambao hutafuta mchawi kila mara mambo yanapokwenda mrama, wanatafuta mtu mwingine wa kumlaum ili mradi wao wabakie na utukufu. Watu hawa na mzigo mkubwa kwa jamii zao

Do not waste time: Malaria Sugu = RA. He has nothing to lose when this country is plunged into religious conflict!
He will be back to Iran or Jordan.
Mpuuzeni
 
Aidha, Profesa Malima anaamini kuwa kampeni inayoendeshwa na magazeti yote dhidi yake haihusiani na kazi: "Kampeni hii inaelekea kuwa na agenda maalum, wameazimia kuchafua jina langu ili kufanikisha malengo fulani fulani", alisema.
Amehoji kuwa ikiwa kila wizara mambo yanapokwenda vibaya lazima alaumiwe Waziri kwa kuwa kiongozi basi mfano huo lazima uzingatiwe sana. Kwa kuwa alipokuwa Waziri wa Fedha lawama zote alipewa yeye japokuwa hazikuwa na ukweli wowote.

Profesa Malima amesisitiza lazima ionekane wazi kuwa kuna mwelekeo maalum katika kampeni hiyo kwani, "Wizara ya Mambo ya Nje, kiongozi anayeshughulikiwa ni Katibu Mkuu, Dk. Ibrahim Msabaha. Wizara ya Elimu ya Juu, mkorofi ni Katibu Mkuu Dk. Mohamed Bilali. Wizara ya Kazi mkorofi ni Katibu Mkuu Kenya Hassan na vile vile Wizara ya Elimu anayeshughulikiwa ni Katibu Mkuu Ali Mansour Vuai, alitoa mfano na kuongeza "Sasa angalia wote hawa wana sifa moja inayowaunganisha na Profesa Malima (akimaanisha Uislamu). "Tunaipeleka wapi nchi yetu?" Aliuliza Profesa Malima na kusema, kama Wizara ya Fedha aliyekuwa akiandamwa ni Waziri kwa nini Wizara nyingine wanaoandamwa si Mawaziri? Amesema, magazeti yenye mtindo huo hayana budi kurekebisha mitazamo na mienendo yao "vinginevyo tunakabiliwa na hatari kubwa ya Disquised Apartheid (aina mbaya sana ya ubaguzi) alionya.

Raisi wakati huo alikuwa nani? Ndiye aliyemmaliza siyo?
 
Kama kweli unamaanisha unachokisema, mbona ni rahisi kutokumuona tena, wewe cha kufanya nenda kwenye profile setting yako muadd kwenye ignore list basi, maleria sugu kwako atakuwa historia, lakini sisi wengine hii ndio comedy yetu yaani ni burudani tosha kabisa.

AKA kiburudisho tosha teh teh teh teh
 
Aidha, Profesa Malima anaamini kuwa kampeni inayoendeshwa na magazeti yote dhidi yake haihusiani na kazi: "Kampeni hii inaelekea kuwa na agenda maalum, wameazimia kuchafua jina langu ili kufanikisha malengo fulani fulani", alisema.
Amehoji kuwa ikiwa kila wizara mambo yanapokwenda vibaya lazima alaumiwe Waziri kwa kuwa kiongozi basi mfano huo lazima uzingatiwe sana. Kwa kuwa alipokuwa Waziri wa Fedha lawama zote alipewa yeye japokuwa hazikuwa na ukweli wowote.

Profesa Malima amesisitiza lazima ionekane wazi kuwa kuna mwelekeo maalum katika kampeni hiyo kwani, "Wizara ya Mambo ya Nje, kiongozi anayeshughulikiwa ni Katibu Mkuu, Dk. Ibrahim Msabaha. Wizara ya Elimu ya Juu, mkorofi ni Katibu Mkuu Dk. Mohamed Bilali. Wizara ya Kazi mkorofi ni Katibu Mkuu Kenya Hassan na vile vile Wizara ya Elimu anayeshughulikiwa ni Katibu Mkuu Ali Mansour Vuai, alitoa mfano na kuongeza "Sasa angalia wote hawa wana sifa moja inayowaunganisha na Profesa Malima (akimaanisha Uislamu). "Tunaipeleka wapi nchi yetu?" Aliuliza Profesa Malima na kusema, kama Wizara ya Fedha aliyekuwa akiandamwa ni Waziri kwa nini Wizara nyingine wanaoandamwa si Mawaziri? Amesema, magazeti yenye mtindo huo hayana budi kurekebisha mitazamo na mienendo yao "vinginevyo tunakabiliwa na hatari kubwa ya Disquised Apartheid (aina mbaya sana ya ubaguzi) alionya.

Tujitahidi kuepuka thread zinazochochea malumbano ya kidini. Tukiziepuka hizi thread kwa pamoja tutakuwa tumeua IBILISI WA UCHOCHEZI.

YES WE CAN, TOGETHER AS ONE
 
black-clown-MS.jpg
 
Amesema, magazeti yenye mtindo huo hayana budi kurekebisha mitazamo na mienendo yao "vinginevyo tunakabiliwa na hatari kubwa ya Disquised Apartheid (aina mbaya sana ya ubaguzi) alionya.

Wewe MS unaugonjwa wa aina mbaya sana ya ubaguzi. Ndiyo maana hoja zako zinakabiliwa vilivyo. Kwa nini watu hujiangalia kwenye kioo? Ni kwa sababu wanachukua responsibility ya outlook yao kabla hawajatoka hadharani. Hufanyi hivyo UNANIKWANZA
 
Naomba nisimfahamu Ms maana nahisi nitavunja sheria ya haki za binaadamu hawezi akawa ananiharibia siku zangu zote anazopost mada
 
Back
Top Bottom