Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

NILIELEKEZWA HIYI DAWA NA PROF MMOJA WA KIHINDI KTK CHUO NILICHOSOMA UNDERGRADUATE MIAKA YA TISINI,NA NIMESHAWAELEKEZAWATU WENGI SANA! NAKUELEKEZA BUREEEE!TENA DAWA INAUZWA HADI KATIKA PHARMACY ZA WAHINDI!inaitwa ZANDU!ukiinunua niambie nikuelekeze jinsi ya kuitumia ili malaria isirudirudi tena kwako.ni dawa ya asili ya wahindi na inatibu magonjwa mengi sana hata typhoid,amoeba n.k,nk

Mkuu ashindile,
Nikiipata nitakujulisha unielekeze matumizi yake. Hata hivyo, kwavile niko mikoani naweza chelewa ipata. Je, waweza kuwa specific inapatikana wapi ili niiagize direct?

mkoani pia zipo,nilishamwelekeza mtu hata mkoa wa manyara kwa wahindi babati zipo ,morogoro pale kwenye pharmacy ya wahindi kama unaenda crdb kuna daraja ukishavuka upande wa kushotokama unatoka mjini zipo,uko mkoa gani huo wahindi hawapo tanzania hii?dar mitaa ya uhindini kule mjini imejaa tele!wewe nenda duka lolote la muhindi uliza wapi utanunua zandu atakuelekeza,ukikosa niambie nikutumie.ila nina hakika huwezi kukosa
 
Mkuu,
...niko Shy ntaenda kuinunua kesho. Asante sana Kiongozi!!

Wakuu naomba msaada wa tiba ya malaria sugu tangu ujana wangu hadi leo nakaribia 50yrs nimekuwa nauguwa na kutibu malaria kila mwezi, tangu wakati wa chroloquine, fansider, Halfan,Metakhafin, Amodiaquine, mseto,,,,dawa za asili mshana, mwarobaini, soku-masai, n.k kwa yeyote atakae niwezesha kukaa angalau kila baada ya mwaka mmoja naahidi kutoa zawadi nono shs 100,000 hadi shs 2,000,000.

Hupima kuhakiki ni malaria kabla matibabu, pia namshukuru mungu sijawahi kulazwa kwa malaria, naomba msaada hata wa ushauri tu.

Nimekuwa na mawazo kuwa immunity yangu kwa malaria ni very weak, sababu sijasumbuliwa na magonjwa mengine labda kdg tonslitis kwa mwaka x2, minyoo x3 kwa mwaka, Mafua ndio mara kwa mara kila dalili za malaria tu

Swali langu je pana namna yeyote ya kuongeza immunity(kinga) ya mwili hasa dhidi ya malaria ?
 
umepima malaria yako au parasites wako level gani na weka historia fupi ya ugonjwa wako na dawa zipi umetumia na masharti umetimiza kumaliza kozi ya dawa au unakunywa leo moja kesho umeacha
 
Jaribu wataalamu hospitali kubwa icje kuwa malaria iko ktk mifupa esp uti wa mgongo kcmc iko vizuri ktk hili.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pole sana mkuu. Mimi nilikuwa na shida kama hiyo. Walau nilikuwa sikai zaidi ya miezi miwili bila kuumwa malaria kwa miaka kama minne hivi. Nilitumia fansidar, metakelfin, amodiaquine, quinine nk. Lakin nilipokuja kutumia artequin, hii shida haipo tena. Naweza kaa mwaka na zaidi. Toka hapo nikiumwa natumia artequin. Sababu za kisayansi, sizijui. labda wataalam watusaidie.
 
umepima malaria yako au parasites wako level gani na weka historia fupi ya ugonjwa wako na dawa zipi umetumia na masharti umetimiza kumaliza kozi ya dawa au unakunywa leo moja kesho umeacha

asante kwa mchango wako mara nyingi wanakuwa 3,4, haizidi 5. na dawa zote nafuata masharti na kumaliza course nzima,
 
Dawa ni: MUNGU+LISHE BORA + KUNYWA MAJI

Nilikuwa na hilo tatizo toka 1983 nikiwa sekondari hadi 1999 nilipooa. Lishe ya kibachela na malaria ni inseparable twins. Baada ya kuoa, wife alinisimamia kwenye lishe maana nilikuwa ANTI-FAO.

Jiangalie kwenye lishe, usije ukawa mvivu kula bila kujali type of food.

Jipime for two months ukila vizuri kiasi cha kutosha na kunywa maji angalau lita 1 na nusu kila siku. Ukipona umshukuru Mungu na kutujuvya hapa JF
 
Muombe Mungu akuepushe na huo ugonjwa wa Malaria,inawezekana na utapona kabisa na utasahau,"Imani yako ndiyo itakuponya"NDIO THT BEST DAWA.
 
Pole sana mzee! hii kitu inatesa sana. Ukiwa Dar malaria ni nyingi sana, mi nakumbukanikiwa Dar nilikuwa naumwa sana kila mwezi nikikaa sana 2 months, nikahama makazi nikaenda mkoani kikazi lakini, huko nimepata afya nzuri sana, malaria hakuna kabisa, may be once in two years na ni ile ya kuchoka kidogo unapima. Nahisi utakuwa uko kwenye area ya mbu wengi sana na hujapata hasa dawa ya kukutibu. But kama unaweza tafuta dawa hata nje ya nchi, ometimes madawa yetu yamekuw feki kwa kiwango kikubwa.
 
umepima malaria yako au parasites wako level gani na weka historia fupi ya ugonjwa wako na dawa zipi umetumia na masharti umetimiza kumaliza kozi ya dawa au unakunywa leo moja kesho umeacha

Mtu mzima anapokuambia anaomba ushauri lazima ujipange kutoa ushauri na usikurupuke. Inamaana we unadhani Jamaa hajui namna ya kumeza dawa hadi ameze Leo moja na kesho moja ? Acha maskhara bwana. Malaria inasumbua si mchezo.... Omba usikutane nayo hii malaria isiyosikia dawa. Ipo na watu wengi nimewaona wanasumbuka na Mimi ni mmoja wao.
 
Miaka 20 na hali hiyo na dawa hizo, maini yangekuwa yeshaanza kuharibika. Nafikiri mazingira unayoishia ni sehemu inayoweka maji maji. Maana magonja mengine uliyoyataja huwa yanahusiana na malaria.
 
Wakuu naomba msaada wa tiba ya malaria sugu tangu ujana wangu hadi leo nakaribia 50yrs nimekuwa nauguwa na kutibu malaria kila mwezi, tangu wakati wa chroloquine, fansider, Halfan,Metakhafin, Amodiaquine, mseto,,,,dawa za asili mshana, mwarobaini, soku-masai, n.k kwa yeyote atakae niwezesha kukaa angalau kila baada ya mwaka mmoja naahidi kutoa zawadi nono shs 100,000 hadi shs 2,000,000.

Hupima kuhakiki ni malaria kabla matibabu, pia namshukuru mungu sijawahi kulazwa kwa malaria, naomba msaada hata wa ushauri tu.

Nimekuwa na mawazo kuwa immunity yangu kwa malaria ni very weak, sababu sijasumbuliwa na magonjwa mengine labda kdg tonslitis kwa mwaka x2, minyoo x3 kwa mwaka, Mafua ndio mara kwa mara kila dalili za malaria tu

Swali langu je pana namna yeyote ya kuongeza immunity(kinga) ya mwili hasa dhidi ya malaria ?

naomba unipm ili nikutibu, yawezekana unatatizo jingine si kawaida kunywa dawa monthly. Pm me we will talk
 
Wakuu tunawashukuru wote waliotoa michango yao ya mawazo na ushauri lakini bado tunahitaji misaada hiyo zaidi na hasa ya kitaalam, TUNAOMBA USHIRIKIANO WENU
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom