Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malaria sugu inanitesa! Dawa gani itanipa tiba ya kudumu?

Discussion in 'JF Doctor' started by Tuandamane, Mar 26, 2008.

 1. T

  Tuandamane JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2008
  Joined: Feb 2, 2008
  Messages: 1,220
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Malaria sasa naona haitibika maana watu wengi sana hata wakinywa hizi dawa za Metakalfin, Arinet lakini baada ya wiki malaria iko palepale.

  Niliwahi kumuuliza Dokta mmoja aliniambia mara nyingi wale wadudu hujificha kwenye maini na kizazi (kwa wanawake).

  Ningependa mwenye utaalamu basi atueleze kwa undani nini cha kufanya hasa unapopata Malaria isiopona.
   
 2. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Vipi wadau. Yaani hapa nilipo nina hofu huenda ni ngoma inasababisha malaria isiishe. Nimetumia 90% ya dawa za malaria lkn kila nikipima ipo! Last wk nimetumia mephaquine. Nasubiri kidogo nikacheki tena. Dawa zote ni prescription from doctors. Nina hofu na afya yangu pamoja na sumu ya hizi dawa mwilini. Yaweza kuwa VVU vinazuia kupona? Sitmwi kingine lakini, na nimepima uzito leo nina 80kg. Zimeongezeka 5. Kuna mitishamba naweza tumia nikamaliza huu ugonjwa mwilini? Naombeni maoni yenu
   
 3. Alinda

  Alinda Platinum Member

  #3
  Jul 18, 2009
  Joined: Jun 26, 2008
  Messages: 1,540
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Pole Mziwanda!

  Maswali ya kujiuliza
  Je unatumia doze kama unavyoshauriwa na Dr. (sio umeze kidoge leo, kesho usahau halafu kesho kutwa hiyo ni hatari)

  Je baada ya kumalia doze unakwenda kupima tena baada ya muda gani (kwani ukimaliza doze leo na kwenda kupima kesho yake uwezekano wa kukutwa na malaria J

  Je unajaribu kujikinga na mbu wasikuume (hii ni pamoja na kutumia net, kutumia cream za kujipaka, au spry, au kuzuia mazalio ya mbu na nk)

  Na kwa ushauri zaidi jaribu kupiga moyo konde na ukapime kwani utaondoa hii wasiwasi uliyonayo juu ya VVU. (najua ni uwamuzi mzito lkn katika maisha wakati mwingine ni lazima uchukue umamuzi ambao sio easy!

  Alinda
   
 4. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Pole Mziwanda! Kwanza kabla ya kukupa Dawa nakushauri uende Hospitali ukapime VVU uhakikishe kwanza huna Hivyo VVU kisha jaribu kutafuta Ndimu kama 30 kisha uzikamuwe upate chupa moja ya Orange kisha hiyo chupa moja ya Ndimu uianike juani kwa muda wa siku 3 kisha uwe unakunywa kikombe kimoja cha kahawa asubuhi kabla ya kunywa kitu na usiku mpaka utakapo maliza hiyo chupa moja ya ndimu kisha nenda kapime utakuta hiyo Malaria sugu imekwisha mwilini mwako katika hiyo chupa ya Ndimu tafadhali usije ukatia kitu chochote kingine kwa mfano maji au chumvi usiweke wewe kunywa hayo Maji ya Ndimu mpaka umalize nafikiri Matatizo yako yatakwisha asante.


  Treatment Of Malaria


  Malaria is a common ailment affecting people living especially in topical zones. Accompanied by high temperature, this disease is caused by infection of protozoans carried by female mosquitoes belonging to genus Anopheles.
  These parasitic micro organisms enter the body of the individual with the bite of the mosquitoes. Other vital symptoms include frequent chills, excessive shivering, and severe headaches. If the patient is not treated in time, it can be very fatal for the life of the patient leading to anemia, dysentery or kidney failure.
  This disease requires special medical care and treatment. Supplemented with effective home remedies, the patient will have a speedy recovery.
  Given below are some naturally prepared concoctions which can help one tackle malaria in a better way?
  Take a glass of water and to it add 1tsp cinnamon powder, 1 tsp honey and ΒΌ tsp black pepper. Bring the contents to a boil and consume it after cooling it down to room temperature. Leaves of holy basil have medicinal properties. It can be taken in raw state or boiled in water to be taken and take as solution.
  Incase the patient happens to be in the initial stages of malaria, it is advisable to ask the patient to stick to liquid diet comprising orange juice and other fruit juices.
  If the affected person suffers from high temperature, application of cold packs over the forehead will lessen symptoms of high fever. One can also prepare anti malarial herbal solution using the 60 millilitre water, 3 grams lime and lemon extract of one whole lemon. This can be consumed once a day till the fever persists.
  Ginger is one of the most useful roots in curing various ailments related to fever or cold. Boil few pieces of ginger with 3 tsp raisins till the content is reduced to half. Cool it before consumption.
   
  Last edited: Jul 18, 2009
 5. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Mziwanda, The diagnosis of chronic malaria does not exist and POSITIVE blood slide (B/S) for malaria parasites does not necessarily mean the culprit for your troubles is the malaria parasites in your blood, you might be suffering from other ailments which presents like malaria, a positive B/S is just a coincidence or might be due to laboratory errors or intentional/doctored results.

  If malaria parasites are the real cause, then it is possible that you have been taking counterfeit antimalarias OR you might have been getting new malaria infection after every course of antmalaria.

  I recommend consulting the competent physician from a reputable hospital, preferably a consultant medical facility.
   
 6. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadau nashukuru kwa mawazo. Itabidi nikacheki ngoma kwanza. Kuhusu dose natumia inavyoshauriwa. Pia kuhusu ndimu, i have ulcers. Kuna mbadala? Nae visent kanipa changamoto nyingine. Not necessarily malaria! I will check first and come to tell u guys what is what
   
 7. L

  Lizy JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 413
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Pole sana ndugu.

  Labda unatumia dawa zilizokwisha muda wake, ama hujapata dawa inayoweza tibu Malaria uliyonayo kutokana na sababu moja ama nyingine, wahusika (Madaktari) watakushauri zaidi ukiwapa historia ya matibanu yako, and they should have an alternatives.Pia nasikia kuna dawa feki madukani, zingatia hayo pia.

  Otherwise, labda 'Ukacheck salio'
   
 8. rmashauri

  rmashauri JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2009
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 3,008
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mziwanda, pole sana rafiki. Kama alivyosema Visenti inabidi kumwona competent daktari. Maana kuna hospitali zingine malaria huwa hazionekani hata kama unayo na zingine huwa haikosekani hata kama hauna. Cha kujiuliza je dalili za malaria kama vile uchovu na maumivu kwenye joints unazo kweli? Hii yaweza kukupa mahali pa kuanzia.

  Kama ulivyoamua kupima VVU ni vyema then utafute ni ugonjwa gani hasa unakusumbua.

  Kumbuka pia yuko daktari asiyeshindwa na ugonjwa wowote naye anaitwa YESU KRISTO, waone watumishi wa MUNGU watakuombea.
   
  Last edited: Jul 27, 2009
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Kuhusu dawa kuisha mda wake i dont think so. Pia dalili zaidi ni maumivu ya kichwa yanayokera pamoja na macho kuuma. Nikipata dalili hizo nikaenda kucheki naikuta. I wil try all advices
   
 10. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka
  hope hapa utapata dawa
  kumbuka pia kunipa dawa ya mafua, pitia thread yangu kwa clarification
   
 11. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nashukuru, ngoja nipitie huko, mkuu
   
 12. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #12
  Jul 21, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Jaribu pia kum PM member anaitwa Mama Joe, atakushauri ni mtaalamu.
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Jul 21, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nashukuru kwa kujali, nitamcheki huko aliko
   
 14. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #14
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Wadau nimetimiza kile nilichoahidi kuwa nitaenda kupima ngoma. Leo hii nimetokea angaza ambapo angalau kwa hatua hii niko negative, hadi hapo 29/10/09. ila ninavyoamini ni kuwa hapo kati sikuharibu so majibu yatakuwa shwari tu. tatizo ni kuwa, maleria bado ipo, nimecheki leo pamoja na typhod ambayo sina. nitamuona mtaalam gani kusolv hii problem? ni mitishamba gani nitatumia niondokane na hii kero? kwa ukweli ni kero, hadi nimepima ngoma si ishu ndogo!
   
 15. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #15
  Jul 28, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Mziwanda ile mambo ingine ya njia ya mkojo iliendaje? ....haya mambo sometimes huwa na connection mkuu!
   
 16. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #16
  Jul 28, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  kaka una memori. Kiukweli sijafuatilia in deep hiyo labda nianze sasa
   
 17. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2009
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Hata mimi nilikuwa na tatizo hilo hadi ikafikia hatua ya kutaka ku commit suicide mnamo mwaka 1993. Nimekuwa vunirable kwa malaria kwa takribani miaka 20. Lakini kati ya Deseemba 2008 na Januari 2009 nilitumia ALU and I can comfess kwamba tangu wakati huo sijaugua Malaria tena mpaka nimejishangaa. TUMIA ALU Dawa Mseto ya malaria.
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Afadhali wewe ndugu umepona kwa ALU. mimi nimeshatumia mara tatu. imedunda kabisa. mara ya pili kutumia nilikaa mwaka bila kurumia dawa ya malaria ila inanipata tena na nilipotumia ALU ikawa bila bila. Kuna dawa inaitwa MUSHANA inapatikana hapo ubungo plaza nataka nianze kuitumia hiyo
   
 19. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Afadhali wewe ndugu umepona kwa ALU. mimi nimeshatumia mara tatu. imedunda kabisa. mara ya pili kutumia nilikaa mwaka bila kutumia dawa ya malaria ila ilinipata tena na nilipotumia ALU ikawa bila bila. Kuna dawa inaitwa MUSHANA inapatikana hapo ubungo plaza nataka nianze kuitumia hiyo
   
 20. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Ha!Ha!Ha!ha! au tatizo lako liliisha /pungua nini? vinginevyo usipoziba ufa........!
   
Loading...