Elections 2010 Malaria Sugu Hatimaye Amkubali Dr. Slaa!

jamani huyu Malaria Sugu amenifurahisha sana! Mi ktk list ya watu nitakaochagua JK pekee amekuwa deleted mpaka sasa, kwa kutumia akili ya kawaida (common sense). Nikitazama post zake nahisi jina lake laweza kuwa Abud ulah man kiana ana.... Au Ri ziiiiiii one
 
Nyie mnasema tu...huyu chadema full...we embu angalia hiko kicheko hapo chini...anagalia hata maneno yake yalivyo...hayana hata chembe za feelings za ki ccm kutoka moyoni!! embu someni tena maneno yake vizuri...
hahahahaha. naogopa amani iliopo kupotea, naogopa kumpa kura yangu dk slaa kwani amani na utulivu bado naupenda isonge mbele.
namuheshimu sana dk slaa kama mtanzania mwenzangu. lkn siamini kama anaweza angalau kpata 13% ya kuraza watz.
natamani rais wangu Jk AZidi kungara, ashinde kwa kishindo.
dk slaa endapo atapata 20% ya kura basi watz tutakuwa mandondocha
 
Usisahau kumwombea afya njema pia! si unajua lile tatizo lake?
:yield::llama:
Chachachachadedeemamama
 
Dk slaa hawezi kuongoza tz, kwanza anahasira sana, pili sio mvumilivu, tatu ahaddi anazotoa ni kiini macho, nne chadema haina sera, haina muono, haina mkakati wa maendeleoi
juu ya yote hayo. tumpe kura Jk october 2010

MS bana!! Mauwanja ya ndege ya kimamataifa Bukoba, Kigoma, Mwanza. Mwanaza kuwa carfornia ya africa, Kigoma Dubai ya africa siju nini sijui nini, meli mbili mpya Bukoba, Songea (ya jana) blah, blah... Ilhali RELI YA KATI IMEMSHINDA. What makes you think vitawezekana hivi!!!

Acha maahadi ya 2005 ndo basi kabisa!!! Wewe ni mgonjwa sana MS.
 
Usisahau kumwombea afya njema pia! si unajua lile tatizo lake?
:yield::llama:
Chachachachadedeemamama

Ukizingatia mtabiri Yahya alisema kuna mgombea wa uraisi atakufa kabla ya uchaguzi. Ushauri huu ni mzuri kwa MS!!!
 
Nimejaribu kumfuatilia MS na nimegundua kuwa ni mpenzi sana wa Dr. Slaa may be posho anayopata upande wa pili ndiyo inamfanya asitoe msimamo wake hadharani. Ukiangalia kwa undani thread zake nyingi anazoleta ni za kusaidia kupandisha chart ya Dr. Slaa zaidi ya kumbomoa na hana thread yeyote ya kumsaidia JK na CCM kwa ujumla.

MS na wezako karibuni kwenye mapambano. Dr. Slaa for Prez!!!!

Karibu Malaria Sugu kwa Dr. Slaa na chadema ili kazi ianze ya kulijenga taifa hili upya
 
MS Wewe mwenyewe unajua jinsi jamaa yako alivyoishiwa sera,akisimama anasema chagua ccm kama mnataka amani,sasa amani haipo kwani?!! mbona hamsemi kama mnataka mafisadi yafungwe chagua ccm,mana mnajua hao ndo wanawapa hela chafu mnatumia.

Huwezi kuzuia mabadilko kwa sera nyepesi kama hizo,wewe kaa na matokeo ya Redet na synovate ambayo mmechakachua,sisi wananchi tunatoka na kitu trh 31,hapo mtabroo
 
MS kura siri mpe Dr Slaa wale jamaa wa pale Lumumba hawatajua..hata mimi sitawaambia...naapa vile.
 
malaria sugu bado anataka amani iwepo, idumu na iendelea.
ukimpa dk slaa nchi itauzwa, itanunuliwa hatimae machafuko.
nchi bila ya kikwete 2010-2015 ni ndoto tena za mchana huku ukiwa unanjaa

Angalia MS isije panda kichwani maana dalili zote zinaonyesha hivyo. Anyway, usisahau kumpa kura yako Dr. Slaa tarehe 31.
 
Dk slaa hawezi kuongoza tz, kwanza anahasira sana, pili sio mvumilivu, tatu ahaddi anazotoa ni kiini macho, nne chadema haina sera, haina muono, haina mkakati wa maendeleoi
juu ya yote hayo. tumpe kura Jk october 2010

Duh, malaria, kweli umekufa kibudu, sio kosa lako, tatizo njaa na umaskini wa kufikiri
 
Kura ni siri ya mpiga kura mwenyewe!mimi sina wasiwasi MALARIA SUGU atampigia kura Dr Slaa,jamaa inaonekana sasa ameelewa somo baada ya kufundishwa kwa muda mrefu!
Please MALARIA SUGU!vote for Dr Slaa,achana na DR wa kufoji!
 
Back
Top Bottom