Malaria sugu akishangilia ushindi wa JK!

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,768
4,033
160[1].jpg


Katika pitapita yangu mtaani, nilifanikiwa kukutana na malaria sugu, akishangilia ushindi wa JK uliokuwa umetangazwa punde na tume feki ya uchaguzi!alionekana mchangamfu,mwenye haiba na furaha ya hali ya juu kama anavyoonekana!
 
kumbe ana domo kubwa namna hiyo ndo maana haishi kupayuka nonesense hapa jamvini
 
Ban iko njiani, naangalia LIVE Mkwere akizindua UDOM
 
Limbani ....mbona akiweka meno ya bandia atavutia sana tu..!hata hivyo mwanaume hashangaliwi sura ati....!
 
Hii iliwahi kuwa avatar ya mwanaJF mmoja anaitwa Burn. Umenikumbusha, sijui yuko wapi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom