Malaria Sugu ailalamikia JF

emalau

JF-Expert Member
Apr 25, 2009
2,775
3,100
Wadau katika kusoma gazeti la mwanahalisi la toleo la leo nimeutana na malalmiko ya jamaa mmoja aliyetoa michango mingi kupitia JF hususan kabla ya uchaguzi 2010.

Amedai kwamba amefungiwa maisha hapa jf na moderator aliyemtaja kama invisible.

Je ni kweli au uzushi wake?
 
Wenzio hawajajiita ganda wamejiita gamba, kunatofauti mkuu!
 
Back
Top Bottom