Malaria Sita? na mtu kaenda mwenyewe hospitali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malaria Sita? na mtu kaenda mwenyewe hospitali?

Discussion in 'JF Doctor' started by Highlander, Sep 1, 2012.

 1. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wadau samahani. Naomba kujuzwa .. mtu anajipeleka mwenyewe anatembea hadi dispensari ya mtu binafsi. pale anaambiwa kapatikana na malaria sita. Anapewa ushauri alale mapumziko na kupata drip. Hizi maliari sita mbona kama zinakuwaga nyingine za kutungwa? Na usipochunga watakulaza mpaka kesho kabisa. Hivi hakuna uongo kweli katika hizi dispensari binafsi?
   
Loading...