Malaria Haikubaliki

Njia ipi sahihi ya kuangamiza malaria nchini Tanzania?

  • Kugawa chandarua kwa kila familia kulingana na idadi ya vitanda.

    Votes: 0 0.0%
  • Sijui

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    3

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2006
Messages
4,725
Likes
939
Points
280

Ndachuwa

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2006
4,725 939 280
Njia sahihi ya kutokomeza malaria ni

(a) Kugawa chandarua kwa kila familia

(b) Kuangamiza masalia yote ya mbu.

Mbu wanaoneza malaria wako kila mahali na wanaumi hasa kwenye mikusanyiko ya jioni mfano bar, vikao vya misiba nk. Mtu aliyekwiumwa mbu na baadaye kwenda kujifungia kwenye chandarua sidhani kama atakuwa amesalimika na malaria. Kwa wanaoishi kwenye mahoteli ya kitalii hupiga dawa inayoua wadudu wote na nyumba hukaa mwaka mzima bila kutembelewa na mdudu yeyote akiwepo mbu.
 

Forum statistics

Threads 1,203,608
Members 456,885
Posts 28,122,389