Malani ya mdogo wangu bwana yalikua yanachekesha sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malani ya mdogo wangu bwana yalikua yanachekesha sana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by KML, Jun 6, 2012.

 1. KML

  KML JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 863
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  nilikua na dogo langu moja sasa tukiudhiana tunapeana malani, sasa malani yake yalikua yanachekesha sana maana hayanilengi muhusika. labda mi ntaanza kumwambia kichwa kama sufuria
  yake yeye sasa eti .. kaptula kama shati... lione lione kwanza jicho kama mkono... lione lione baiskeli kama pikipiki.. twende twende... toyota kama nissan...twende twende... unga kama mchele

  Basi mimi nilikua mbavu sinaaaa
   
 2. HP1

  HP1 JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 3,353
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Domo kubwa chapati haukunji, bichwa kubwa uchochoroni aupiti
   
Loading...