Malangalila azushiwa kashfa!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Habari zilizonifikia sasa hivi ni kwamba Mbunge wa Mufindi Mashariki Bwana Malangalila yuko mjini Iringa akihaha kujaribu kuzuia kesi ya kaka wa hawara yake mmoja wa Ifunda isipelekwe mahakamani

"shemeji" yake huyo pamoja na wenzake wamekamatwa na mapipa 58 ya mafuta katika eneo la ifunda ambalo ni maarufu kwa unyonyaji wa mafuta kwenye magari yanayopeleka bidhaa hiyo nchi za jirani. Inadaiwa Mheshimiwa huyo ametakiwa na RCO wa Iringa kutoa rushwa ya shilingi milioni moja ili yaishe. ufisadi utakwisha kweli?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza huyo Mheshimiwa kufuatilia kesi hiyo ni ukosefu wa maadili vilevile ni kuendekeza ufisadi.

Kwanini asiachie sheria ikafuata mkondo wake? Sheria ni wao wanazitunga, wao tena wanakuwa wa mbele kuzivunja!
 
Mkuu unaweza kuleta data za kutosha? maana skendo hiyo ikiwafikia wenyewe ni kali.
 
Kwanza huyo Mheshimiwa kufuatilia kesi hiyo ni ukosefu wa maadili vilevile ni kuendekeza ufisadi.

Kwanini asiachie sheria ikafuata mkondo wake? Sheria ni wao wanazitunga, wao tena wanakuwa wa mbele kuzivunja!

Kimwana kimmwage??........anatetea maslahi yake kwa kimwana so inabidi amsaidie shemeji........ mjinga kweli kweli haya sasa atajikuta ananunua kesi ya kutoa rushwa .........
 
Au huo mradi aliokamatiwa shemeji yake ni wake mwenyewe mheshimiwa sana mbunge na shemeji alikuwa mwakilishi tu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom