Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Habari zilizonifikia sasa hivi ni kwamba Mbunge wa Mufindi Mashariki Bwana Malangalila yuko mjini Iringa akihaha kujaribu kuzuia kesi ya kaka wa hawara yake mmoja wa Ifunda isipelekwe mahakamani
"shemeji" yake huyo pamoja na wenzake wamekamatwa na mapipa 58 ya mafuta katika eneo la ifunda ambalo ni maarufu kwa unyonyaji wa mafuta kwenye magari yanayopeleka bidhaa hiyo nchi za jirani. Inadaiwa Mheshimiwa huyo ametakiwa na RCO wa Iringa kutoa rushwa ya shilingi milioni moja ili yaishe. ufisadi utakwisha kweli?

Last edited by a moderator: