Malalamiko ya Walimu .....Tulioajiriwa kama Walimu wa Leseni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko ya Walimu .....Tulioajiriwa kama Walimu wa Leseni

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Mr.Busta, Jul 17, 2012.

 1. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  WANAJF

  Nia yangu nikupata kutoa kero yangu na kuwaomba watu ambao wanaweza kutusaidia sisi walimu tulioajiriwa kama walimu wa lesen.kwani tulikuwa tunalipwa 80% ya mshahara wa diploma na bila makato yeyote kama sheria zinavyo sema.lakini cha ajabu serikali imeamua kutukata tunaombeni msaada wenu.najua kuna watu wengi ambao watakuwa na uelewa na hili suala hasa tunawaomc wabunge watusaidie katika kipindi hichi cha bajeti ya wizara ya elimu.pia tunapojiendeleza uzoefu wetu kazini hauzingatiwi.tunahitaji msaada wenu.
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,724
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Na mimi naomba kujua, je kipindi cha kufundisha kwa leseni hakijaisha? Je mkataba wako na mwajiri unasemaje kuhusu makato na michango mingine kama ya bima?
   
Loading...