Malalamiko ya uteuzi wa RC Mghwira inaonyesha kutokukua kwa Demokrasia nchini kwa watanzania

tramadol

JF-Expert Member
Oct 10, 2015
5,383
4,323
Wakati nchi nyingi dunia duniani mara baada ya uchaguzi mkuu viongozi na wanainchi wao kufikiria kuijenga nchi yao kinaendelea na kujipanga kwa uchaguzi mwingine sisi hapa Tanzania ni tofauti.

Uteuzi wa viongozi wa ACT Wazalendo umeonyesha hayo na kuanzia kuitwa majina mengi ya ajabu na hata viongozi wengine wa ACT kujiuzuru mfano Karibu wa ACT wa Mkoa Mbeya Mr Bahati Longopa kaachia ngazi kisa uteuzi wa viongozi wa ACT ktk Serikali.

Kutokukua kwa Demokrasia ktk kiwango cha juu kunachangia hali hii.Nakumbuka Rais Barrack Obama wa Democratic alimchagua Kerry kuwa Waziri wa mambo ya Nje wa Marekani kutoka Republican na kulikuwa hakuna shida yoyote kutoka kwa wafuasi na viongozi wa vyama.

Tanzania tuna shida gani na siasa za siasa kuhusu Demokrasia?
 
Mkuu nakubalina na wewe lakini John Kerry ni Democrat na alikuwa Presidential nominee wa Democrat 2004.
 
"Kuna watu wanatuita sisi ni CCM B Mimi nawajua wote hawa ni wapinzani wetu,tena naweza kusema wanaendesha siasa za kipuuzi kabisa yaani unataka kusema chama tawala hakina hata jambo jema wewe kazi yako kukosoa tu" Samson Mwigamba
 
Back
Top Bottom