Malalamiko ya kukiukwa kwa sheria na katiba:Je,umefika wakati wabunge wa upinzani kuanzisha impeachment proceedings?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,982
144,308
Wapinzani kwa ujumla wamekuwa wakilalamikia na kutoa tuhuma kuhusu mambo mengi yanayohusu ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi kama vile kuzui mikutano ya kisiasa,kudharauliwa kwa Bunge,n.k

Kwa mfano,Zitto Kabwe kupitia mtandao wa twitter alifikia hatua ya kupendekeza iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza tender ya ujenzi wa uwanja fulani wa ndege.

Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo sheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)

Swali langu ni je,wapinzani sasa wanapaswa kuchunguza tuhuma hizi na wakijiridhisha kuwa kuna ukweli waanzishe mchakato wa kikatiba wa impeachment badala ya kulalamika tu ila hali wana fursa hiyo kupitia Bunge?

Hata kama mchakato utakwama /utakwamisha,hawaoni kuwa watakuwa wametimiza wajibu wao wa kikatiba na kunawa mikono badala ya kuwa walalamikaji tu?

Wananchi walalamike kupitia mitandao,n.k.Je ni sahihi na wabunge nao walalamike tu kama raia wengine?

Haya ndio maswali ninayojiuliza.
 
Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo dheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)

Hayaya ndio maswali ninayojiuliza.
To achieve column!? Kamanda tunamlilia Gama!
 
Nadhani hakuna age limit
 
Wapinzani kwa ujumla wamekuwa wakilalamikia na kutoa tuhuma kuhusu mambo mengi yanayohusu ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi kama vile kuzui mikutano ya kisiasa,kudharauliwa kwa Bunge,n.k

Kwa mfano,Zitto Kabwe kupitia mtandao wa twitter alifikia hatua ya kupendekeza iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza tender ya ujenzi wa uwanja fulani wa ndege.

Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo sheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)

Swali langu ni je,wapinzani sasa wanapaswa kuchunguza tuhuma hizi na wakijiridhisha kuwa kuna ukweli waanzishe mchakato wa kikatiba wa impeachment badala ya kulalamika tu ila hali wana fursa hiyo kupitia Bunge?

Hata kama mchakato utakwama /utakwamisha,hawaoni kuwa watakuwa wametimiza wajibu wao wa kikatiba na kunawa mikono badala ya kuwa walalamikaji tu?

Wananchi walalamike kupitia mitandao,n.k.Je ni sahihi na wabunge nao walalamike tu kama raia wengine?

Haya ndio maswali ninayojiuliza.
Upinzani upi?!!
 
"Speaker wa Bunge alinipigia simu kuniomba ushauri amchague nani kwenye kamati ya Almasi''- JPM, 2017.

Kama remote control ya speaker ipo Magogoni, then hawana chao Bungeni. Hizo impeachment proceedings zitaishia kwenye party caucus yao. Katibu wa Bunge bado ana kumbukumbu ya kilichompata aliyepita.
 
Wapinzani kwa ujumla wamekuwa wakilalamikia na kutoa tuhuma kuhusu mambo mengi yanayohusu ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi kama vile kuzui mikutano ya kisiasa,kudharauliwa kwa Bunge,n.k

Kwa mfano,Zitto Kabwe kupitia mtandao wa twitter alifikia hatua ya kupendekeza iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza tender ya ujenzi wa uwanja fulani wa ndege.

Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo sheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)

Swali langu ni je,wapinzani sasa wanapaswa kuchunguza tuhuma hizi na wakijiridhisha kuwa kuna ukweli waanzishe mchakato wa kikatiba wa impeachment badala ya kulalamika tu ila hali wana fursa hiyo kupitia Bunge?

Hata kama mchakato utakwama /utakwamisha,hawaoni kuwa watakuwa wametimiza wajibu wao wa kikatiba na kunawa mikono badala ya kuwa walalamikaji tu?

Wananchi walalamike kupitia mitandao,n.k.Je ni sahihi na wabunge nao walalamike tu kama raia wengine?

Haya ndio maswali ninayojiuliza.
Mkuu, ukiuliza swali kama hili, usitegemee kupata majibu kutoka kwa wapinzani! Sisi hapa Tanzania hatuna wapinzani! Waliopo ni wapinzani wababaishaji tu maana katiba na sheria za nchi hawavijui kuvitumia! Kuna mambo mengi sana wanayalalamikia kuwa yamevunjwa na Rais hasa katiba. Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kipengele cha 30, kipengele kidogo cha (3) kinasema hivi "" Any person claiming that any provision in this part of this chapter or in any law concerning his right or duty owed to him has been, is being or is likely to be violated by any person anywhere in the United Republic, may institute proceedings for redress in the High Court"". Kipengele kidogo cha (4) nacho kinaeleza kwamba ""Subject to the other provisions of this Constitution, the High Court shall have original jurisdiction to hear and determine any matter brought before it pursuant to this Article"". Sasa kwa mjibu wa kipengele cha katiba ya nchi ya mwaka 1977, kinatoa ruksa kwa mtu yeyote, ambaye anaona kuwa kuna kipengele fulani cha katiba kimevunjwa, kwenda mahakamani kupata haki yake ya kikatiba.
Leo hii ni mpinzani yupi ameshaenda kufungua kesi ya kikatiba mahakamani kudai haki ya kikatiba au kupata ufafanuzi wa vipengele wanavyodai kuwa vimevunjwa na Rais?? Marehemu Christopher Mtikila ndiye mpinzani pekee aliyejua namna ya kupinga mahakamani pale alipoona kuwa kuna sheria imekiukwa, lakini siyo hawa wapinzani wa leo. Katiba ipo hawataki kuisoma na kuielewa. Malalamiko yao wanayapeleka kwenye mitandao na vyombo vya habari. Rais yeye anawazidi kete kwa kuitumia katiba na sheria za nchi vizuri.
 
Ni vizuri kujenga hoja yako vizuri; suala la impeachment siyo suala la mzaha. Na bahati mbaya - kama hukuwa unajua - haliwezi kufanyika bila chama tawala. HIvyo, kama lengo ni kujaribu kuonesha wamefanya kitu Fulani halafu mridhike hilo wanaweza kufanya na limejaribiwa mara kadhaa kama lile la "kutokuwa na Imani na Waziri Mkuu". Kuna vitu wabunge wa upinzani wanaweza kufanya lakini sasa hivi hawawezi kufanya kwa sababu ambazo ziko wazi kabisa.
 
Wapinzani kwa ujumla wamekuwa wakilalamikia na kutoa tuhuma kuhusu mambo mengi yanayohusu ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi kama vile kuzui mikutano ya kisiasa,kudharauliwa kwa Bunge,n.k

Kwa mfano,Zitto Kabwe kupitia mtandao wa twitter alifikia hatua ya kupendekeza iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza tender ya ujenzi wa uwanja fulani wa ndege.

Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo sheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)

Swali langu ni je,wapinzani sasa wanapaswa kuchunguza tuhuma hizi na wakijiridhisha kuwa kuna ukweli waanzishe mchakato wa kikatiba wa impeachment badala ya kulalamika tu ila hali wana fursa hiyo kupitia Bunge?

Hata kama mchakato utakwama /utakwamisha,hawaoni kuwa watakuwa wametimiza wajibu wao wa kikatiba na kunawa mikono badala ya kuwa walalamikaji tu?

Wananchi walalamike kupitia mitandao,n.k.Je ni sahihi na wabunge nao walalamike tu kama raia wengine?

Haya ndio maswali ninayojiuliza.
Leo mbunge anajipambanua kupeleka mswaada binafsi kurejesha Rasmi ya Warioba bungeni,kesho yake anajiuzulu ubunge.Mbunge mwingine anataka kupeleka muswaa wa kuongeza muda wa raisi akitegemea kupata uwaziri.
Kwa hali hiyo sioni impeachment process ya aina yoyote.
 
Mkuu, ukiuliza swali kama hili, usitegemee kupata majibu kutoka kwa wapinzani! Sisi hapa Tanzania hatuna wapinzani! Waliopo ni wapinzani wababaishaji tu maana katiba na sheria za nchi hawavijui kuvitumia! Kuna mambo mengi sana wanayalalamikia kuwa yamevunjwa na Rais hasa katiba. Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Kipengele cha 30, kipengele kidogo cha (3) kinasema hivi "" Any person claiming that any provision in this part of this chapter or in any law concerning his right or duty owed to him has been, is being or is likely to be violated by any person anywhere in the United Republic, may institute proceedings for redress in the High Court"". Kipengele kidogo cha (4) nacho kinaeleza kwamba ""Subject to the other provisions of this Constitution, the High Court shall have original jurisdiction to hear and determine any matter brought before it pursuant to this Article"". Sasa kwa mjibu wa kipengele cha katiba ya nchi ya mwaka 1977, kinatoa ruksa kwa mtu yeyote, ambaye anaona kuwa kuna kipengele fulani cha katiba kimevunjwa, kwenda mahakamani kupata haki yake ya kikatiba.
Leo hii ni mpinzani yupi ameshaenda kufungua kesi ya kikatiba mahakamani kudai haki ya kikatiba au kupata ufafanuzi wa vipengele wanavyodai kuwa vimevunjwa na Rais?? Marehemu Christopher Mtikila ndiye mpinzani pekee aliyejua namna ya kupinga mahakamani pale alipoona kuwa kuna sheria imekiukwa, lakini siyo hawa wapinzani wa leo. Katiba ipo hawataki kuisoma na kuielewa. Malalamiko yao wanayapeleka kwenye mitandao na vyombo vya habari. Rais yeye anawazidi kete kwa kuitumia katiba na sheria za nchi vizuri.
CC: Tumaini Makene Godbless J Lema
 
Wenye ujasiri kama wa Tundu Lissu ni wachache, wabunge wengine wameweka matumbo yao mbele kwanza na wanaogopa kupimwa mkojo
 
Back
Top Bottom