Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Wapinzani kwa ujumla wamekuwa wakilalamikia na kutoa tuhuma kuhusu mambo mengi yanayohusu ukiukwaji mkubwa wa sheria na katiba ya nchi kama vile kuzui mikutano ya kisiasa,kudharauliwa kwa Bunge,n.k
Kwa mfano,Zitto Kabwe kupitia mtandao wa twitter alifikia hatua ya kupendekeza iundwe kamati teule ya Bunge kuchunguza tender ya ujenzi wa uwanja fulani wa ndege.
Kama haitoshi,leo hii limeibuka lingine kuhusu uteuzi wa mtu ambea umri wake unadaiwa umepita na hivyo sheria kukiukwa(mimi sijui ukweli ni upi hapa)
Swali langu ni je,wapinzani sasa wanapaswa kuchunguza tuhuma hizi na wakijiridhisha kuwa kuna ukweli waanzishe mchakato wa kikatiba wa impeachment badala ya kulalamika tu ila hali wana fursa hiyo kupitia Bunge?
Hata kama mchakato utakwama /utakwamisha,hawaoni kuwa watakuwa wametimiza wajibu wao wa kikatiba na kunawa mikono badala ya kuwa walalamikaji tu?
Wananchi walalamike kupitia mitandao,n.k.Je ni sahihi na wabunge nao walalamike tu kama raia wengine?
Haya ndio maswali ninayojiuliza.