Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
NEC imekuwa ikshutumiwa kuwa inaendeshwa na makada wakareketwa wa CCM sasa huu ndiyo mtihani wao mkubwa kuliko yote.................
Baada ya Chadema kudai kura za vituoni hazijaheshimiwa katika kutangaza matokeo ya kura, NEC kama kweli ni chombo cha kutenda haki ungelikitegemea kusimamisha zoezi zima la kutangaza matokeo yenye harafu kali ya kuchakachuliwa na kuagiza wasimamizi wa majimbo kuwaletea nakala halisi za kura zilizopigwa vituoni ili wazihakiki na kuhakikisha haki inatendeka.......
Sasa NEC ipo njia panda kwa sababu kama ikiendelea kutangaza matokeo huku kuna tuhuma nzito dhidi ya matokeo wanayoyatangaza ni dhahiri wao watatuthibitishia ni wakala wa CCM kwenye uchaguzi huu na haki kamwe haiwezi kutendeka....................
Wakiamua kusimamisha zoezi la kutangaza matokeo na kuyachunguza madai ya Chadema wapigakura watafurahi lakini JK na CCM yake watakasirika na kuwachukia NEC..............Hii ndiyo njia panda kwa NEC...........na hadhi yao machoni pa wapigakura ipo hapo......sijui hata kama wananaliona hili........KUTENDA HAKI KWA MASILAHI YA NCHI KWANI KAMA NEC HAISEMI UKWELI NCHI HII HAITATAWALIKA.....NA HUU NDIYO UTAKUWA URITHI WA JK AMBAO ATATUACHIA...................What a legacy to bequeath his nation...............violence and loss of discipline......chaos.........sporadic fracas.........lost value of Tshs...........hperinflation...........Another MUGABE.......THE LIST IS ENDLESS...