Malalamiko ya Chadema yaiweka NEC njia panda........kunyoa au kusuka...... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko ya Chadema yaiweka NEC njia panda........kunyoa au kusuka......

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutashubanyuma, Nov 4, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,528
  Likes Received: 414,921
  Trophy Points: 280
  NEC imekuwa ikshutumiwa kuwa inaendeshwa na makada wakareketwa wa CCM sasa huu ndiyo mtihani wao mkubwa kuliko yote.................

  Baada ya Chadema kudai kura za vituoni hazijaheshimiwa katika kutangaza matokeo ya kura, NEC kama kweli ni chombo cha kutenda haki ungelikitegemea kusimamisha zoezi zima la kutangaza matokeo yenye harafu kali ya kuchakachuliwa na kuagiza wasimamizi wa majimbo kuwaletea nakala halisi za kura zilizopigwa vituoni ili wazihakiki na kuhakikisha haki inatendeka.......

  Sasa NEC ipo njia panda kwa sababu kama ikiendelea kutangaza matokeo huku kuna tuhuma nzito dhidi ya matokeo wanayoyatangaza ni dhahiri wao watatuthibitishia ni wakala wa CCM kwenye uchaguzi huu na haki kamwe haiwezi kutendeka....................

  Wakiamua kusimamisha zoezi la kutangaza matokeo na kuyachunguza madai ya Chadema wapigakura watafurahi lakini JK na CCM yake watakasirika na kuwachukia NEC..............Hii ndiyo njia panda kwa NEC...........na hadhi yao machoni pa wapigakura ipo hapo......sijui hata kama wananaliona hili........KUTENDA HAKI KWA MASILAHI YA NCHI KWANI KAMA NEC HAISEMI UKWELI NCHI HII HAITATAWALIKA.....NA HUU NDIYO UTAKUWA URITHI WA JK AMBAO ATATUACHIA...................What a legacy to bequeath his nation...............violence and loss of discipline......chaos.........sporadic fracas.........lost value of Tshs...........hperinflation...........Another MUGABE.......THE LIST IS ENDLESS...
   
 2. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #2
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  NEC wanatekeleza mkakati ulioandaliwa siku nyingi na hawana jinsi lazima wamtangaze JK kuibuka na ushindi. Kauli mbiu ya ushindi ni lazima inatimizwa, juzi umemsikia kinana amemaliza kazi.
  Nadhani kuna ulazima sana wa watanzania kuamua kuchukua hatua madhubuti ili tuondokane na hii biashara ya NEC kutuchagulia viongozi badala ya kuheshimu matakwa ya wapiga kura.
   
 3. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #3
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NEC HII INAYOPENDA GIZA NA KUFUNIKAFUNIKA itaumbuka mwaka huu
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Nov 4, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Itaumbukaje? Kumbuka NEC sio chombo huru, kinafanya mambo kwa kuelekezwa na CCM so kitaumbukaje?
  Hizo ni ndoto tena za mchana.
   
 5. Mtumishi Wetu

  Mtumishi Wetu JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 4,981
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Wonderfull information Mr Ruta, let the trueth from NEC be transparent for every body to see, then the NEC respect will be restalled.
  NEC IS ACTUALY PART AND PARCELL OF THE RULING PARTY. Ret us strive to remove these malfanction institutions, used by this demonic ruling bureaucratic system for the sake of our liberation.
  Go Go our hero Dr W Slaa GO.
   
 6. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #6
  Nov 4, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mimi nafikiri mbaka nchi iingie machafukoni ndiyo watajua!!
   
 7. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #7
  Nov 4, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Napendekeza wanaharakati wachukue hatua za haraka za kuandaa maandamano ya watu wote wenye
  mapenzi mema na taifa hili, ya kwenda makao makuu ya NEC kwaajili ya kuhimiza tume hiyo kuyafanyia kazi madai ya chadema kabla hayajatumbukiza nchi yetu katika mgogoro husio wa lazima, kwani wanachodai chadema kinaeleweka; wanachosema ni kwamba idadi ya kura iliyohesabiwa vituoni siyo inayotangazwa na tume. Kuna ugumu gani kwa tume kuyafanyie kazi kwa uwazi madai hayo, ili kuepusha mawazo yanayoanza kujengeka kuwa tume hiyo ina ajenda ya siri.
   
 8. Ally Msangi

  Ally Msangi Verified User

  #8
  Nov 4, 2010
  Joined: Jun 29, 2010
  Messages: 576
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kilichijitokeza jijini mwanza chaweza tokea tanzania nzima kama NEC wataendeleza ujinga wao kama wanaoufanya sasa
   
 9. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #9
  Nov 4, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  uh??????
  mkuu hata mie nina hasira lakini bado sijafikiria kuua mtu shekhe.
  but nina hasira mbaya kweli
   
 10. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #10
  Nov 4, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  J.L Makame amesema kwamba wao(NEC) kama tume ndo watakiwa kuhakiki kura zilizo pigwa na simsimamizi wa uchaguzi jimboni.hivyo imelazimika wao kuzihakiki na zilizokuwa na kasoro wakazirekebisha(chakachua).hivyo hakunasababu ya kuzihesabu upya kwani wao(NEC) wamehakiki kwa mara nyingine tena.
  :A S angry::A S angry::doh::doh::tape::tape:
   
 11. G

  Gaza Senior Member

  #11
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  NEC hawana njia nyingine zaidi ya kumtangaza Kikwete mshindi hata kama wananchi wamemkataa
   
 12. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #12
  Nov 4, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Leo asubui nimewasha TV nikakuta Kinana alikuwa anaojiwa na TBC1 akasema kuwa Dr.Slaa ni Dokta wa DINI (KIKRISTO)kwa msistizo na pia ni Dokta wa UWONGO (Slaa hana evidence) sasa nikashindwa kumwelewa huyu baba anamaanisha nini kuongea maneno kama hayo kwenye TV ya TAIFA. nimejiuliza maswali mengi sana sijapata jibu.
  1. Kinana anataka kuchochea mambo ya UDINI?
  2. Kinana anawadanganya WANANCHI kuwa CCM hawajaiba kura?
  3. Kinana anachochea virugu Tanzania?
  4. Kinana anathibitisha kuwa CCM ni chama cha KIDINI - UISLAMU?
  5. Kinana anaagenda gani na NEC?
  6. Kinana anawafanya WATANZANIA ni mambumbu hawajui kitu?
  7. Kinana anatetea uhalifu wake?
  8. Je Kinana alitumwa aje kuongea hayo alio yaongea kwenye chombo cha UMMA kwa manufaa ya waliomtuma?

  NIKO NJIA PANDA SIJUI PA KWENDA NISAIDIENI WANA JAMVI :A S confused:
   
 13. kuberwa

  kuberwa JF-Expert Member

  #13
  Nov 4, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 568
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  watu tunawakataa viongozi tusio wataka kwa kura zetu, na NEC inawarudisha kwa hujuma na wizi! Lol nchi hii itaripuka muda si mrefu
   
Loading...