Malalamiko ya ccm dhidi ya chadema kukiuka maadili yatupiliwa mbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malalamiko ya ccm dhidi ya chadema kukiuka maadili yatupiliwa mbali

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Beauty, Sep 8, 2010.

 1. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Katika utetezi wake CHADEMA ilisema malalamiko yamewasilishwa nje ya muda na pia CHADEMA iliwasilisha maelezo na vielelezo kuthibitishwa kilichozungumzwa jangwani ikiwemo ilani, orodha ya mafisadi na mkataba aliosaini Kikwete kuthibitisha ufisadi wa CCM,Kikwete kwenye EPA na Bulyankulu.

  kamati ya maadili imetupilia mbali pingamizi hilo kwa kuwasilishwa nje ya muda.

  Kaimu Katibu Mkuu, John Mnyika aliwasilisha utetezi huo kwenye kikao
   
 2. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kwani CCM walilalamika juu ya ile hotuba ya Jangwani?
   
Loading...