Malalamiko ya bar ya Bambalaga, Dodoma

Ina maana ile club imekufa mkuu?
Wakuu Weki Iendelee.

Kumekuwa na Malalamiko Mengi sana Dhidi ya Wamiliki Wa Bar Ya Bambalaga iliyoko Dodoma Kwamba Wanawabagua bahadhi Ya Wateja.

Either Kwa Kuangalia miili Au Personality ya Mtu Husika Wanakuzuia Kuingia ndani Na Mabaunsa Wa Hyo Bar.

Kuna Siku Nilishuhudia Jamaa amekuja na Demu Wake ni mfupi na ana Mwili mdgo Mshikaji akaruhusiwa Kuingia Ndani Ila Demu Wake wakamkataza na Wakamwambia ww MwanFunzi Nenda Kalale. Huu ni udhalilishaji Sana.

Nadhani Wamiliki Wa Bar Husika Waliangalie hili Maana uhai Wa Bar ni wateja Haujalishi ni Aina Gani Ya Mteja.

Karibuni Viwanja vya Ikulu, Hafla Ya Chief Hangaya Akiwapongeza Wachezaji Wa Team Ya Taifa Ya Watu Wenye UlemavuView attachment 2035842
mbona mimi ni mfupi na silalamiki
 
Kiukweli Dodoma kwetu hapa customer care ni mbovu mnoo sio huko bar, lounge, Hotel, cafe kote huduma ni mbovu..

Kama hapo bambalanga mameneja ndani wanakuforce ununue vinywaji vingi wakati nachagua ninywe kiasi gani..

Kuna siku nilikuwa sehemu moja hapa nikaagiza msosi dakika 40 ndio wakaleta na wakati wanadai wana fast food..!

Waiters wenyewe wamekariri matajiri fulani ndio wanahudumia vizuri. Ukiwa wewe hakujui anakupita kama hakuoni..

Mimi huwa nawanyandua tu ndio utapata service vizuri,
 
Tena ukienda na Hubby ndo kabisaaa wanaweza wasije hapo kwny meza yenu. Na wakija wanafanya kama wamelazimishwa mr ndo anawakomeshaga ikibaki hata mia tano atadai mpk wampe.
 
Dawa ndo hiyo kuwa kauzu, huduma wakupe mbovu na bado uwaachie tip hata ya 200 ..! Itakuwa ujinga dai..

Hao wanataka faida ya haraka. Mfano wanapoingiza madada poa wao ndani ili tununue, sasa mmeo akija na wewe atanunuaje? Si wanapata hasara?

Pia akiwa na wewe atapunguza matumizi tofauti na akienda mwenyewe atawanunulia wale Dada poa mpka basi..

Lakini hivi wanavyofanya sio powa Mimi nilijua pale capital watakuwa na huduma nzuri kumbe..
 
Mkishawajua mnawakwepa tuu
 
Frank Nilishamwambia Sana Hili Jambo Ila naona Kama Bado ana kibuli cha kuonekana ana Sehemu Nzuri na classic, Haya mambo ndio yalimfanya samaki² Moro watu wakamkimbilia Star park Kwa huo undava wao.
Saivi nimeona samak moro amerudi kwa kasi huku starpark akifulia. Hizi biashara aijui zina siri gn asee
 
Pale pa kingese sana. Niliwahi fika pale onetime eti baunsa ananipanga mlangoni kwamba eti kama nataka manzi yeye anamjua ambae ni classic na ametulia, akinipa connection sitajuta.

Jamaa nilimwona fala ila nikamzingua. Nilimwambia mm sipendi madem napenda kufi.l.a mabaunsa. Chaajabu jamaa eti hata hakunidunda.

Nikachoma ndani kulikuwa kumejaa hata sehemu ya kukanyaga hakuna. Watu wananunua vinywaj kwa sifa yani mtu mmoja anunua hata bia 20 pekeake na kuzijaza kenye meza huku vile vichangudoa vyao vilivyochoka vikicheza amapiano. Sikununua bia hata moko nikasepa zangu.

Sema jamaa anapiga sana pesa asee
 
Pana ujinga mwingi mno.... Pakishajaa wahudunu wanahudunia kwa cash na ukiwapa cash wanatoroka humuobi tena sehemu ulipo. Juzi nilimkaba mmoja alichukua 20 akatoweka hamadi natoka chooni nikamuona anaenda jikoni nilimletea noma bahati nzuri kuna baunsa mmoja aliona wakati Nampa pesa akamg'ang'ania akarudisha otherwise alikua ameshanikana.
 
Khaaaa
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom