Malalamiko,uonevu maafisa madini wilaya ya Chunya

NYEKUNDU YA BIBI

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
2,298
2,968
Habarini ndugu zangu

Ninaamini muwazima na wenye siha njema.

Mungu awafanyie wepesi wenye magonjwa na hali zisizo nzuri haswa kipindi hiki ambacho serikali yetu inachukua tahadhari za msingi katika kupambana na virus vya covid 19

Tunaimani na kazi mnazozifanya haswa katika kuhakikisha serikali yetu inakusanya mapato katika rasilimali zetu za madini ya dhahabu pasi na shaka lolote

Lalamiko langu kuu.

Maafisa madini wilaya ya Chunya mnafunga makarasha bila utaratibu wa msingi unakuta mtu anakosa lakumpa maelekezo pengine bango la kuutambua mwalo kaweka bango la mbao na linaonekana wazi wazi na kalipia tozo sitahiki za kuutambua mwalo na yupo kisheria lakini mnamsimamisha kazi alipe faini.

Tunaomba mtufungie kwa utaratibu na mwenye haki muaacheni

MABANGO YA CHUMA yanavunjwa usiku watu wanaenda kupima na kuuza chuma chakavu
Tunaomba sisi ni watanzania wawekezaji kama hao wanaotoka nchi zingine kwanini msifate misingi ya utumishi ili tuishi kwa amani

SHIRIKI KUIJENGA NCHI YAKO KODI NI UZALENDO
 
Habari yako Nyekundu ya Bibi nashida na wewe mkuu...nakupataje nina shida binafsi, Nimeku PM pia. Asante
Mkuu naogopa kuchukua namba za watu kwa sababu nyingi za kiusalama siunajua tena serikali yetu hii mkuu hauchelewi kuchomekewa
 
Ankol nakusalimu kwa jina la Gold...Utaratibu wavibao vya utambuzi wa mialo na maduara ni mzuri sana ila nadhani mngeshinikizwa namba zionekane na sio aina ya vibao vutumikavyo...Kwetu tunatumia mbao pana nzuri na rangi nyekundu na maafisa madini wamevifurahia viko poa....Hao w atakua na jambo lao...Vip marudio (Kanyero) lipo la kutosha tuje tuchenjue
 
Watz wengi awajui haki zao,kama mtumishi wa umma atende haki zipo sehemu za kushtaki
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom