Malalamiko: Nimenunua umeme kwa Tigo pesa, leo siku ya 4 sijapata umeme wala pesa hawataki kurudisha

Ustadh tongwe

JF-Expert Member
Nov 22, 2020
584
1,522
Hivi ndugu zangu hivi hili tatizo ni kwangu tu au mpaka nyinyi mmelipata maana siku ya 4 sijapata token wala pesa hawataki kurudisha wamesema ndani ya masaa 24 watarudi pesa sasa hv masaa 96 hila vodacom umeme unanunulika
 
Mimi nimenunua kwa halopesa tangu tar 10 mkuu na sijapata lolote hadi leo na hela wamebeba
 
Hivi ndugu zangu hivi hili tatizo ni kwangu tu au mpaka nyinyi mmelipata maana siku ya 4 sijapata token wala pesa hawataki kurudisha wamesema ndani ya masaa 24 watarudi pesa sasa hv masaa 96 hila vodacom umeme unanunulika
Mdau Tigo wanazingua sana.........nilinunua muda wa maongezi kwa tigo pesa tangu tarehe 2 mwezi huu, mpaka leo sijapata muda wa maongezi wala hawajaweza kurudisha pesa yangu. Kila nikipiga utasikia utarudishiwa pesa yako ndani ya masaa 24.
Ebu fikiria tangu tarehe 2...leo ni tarehe 16...... Tigo wanakera sana:mad:
 
Back
Top Bottom