Niliwahi kufanya utafiti nakupa hiyo kaa mda mrefu bila kutumia vifurushi vyao mfano anza na mtandao mmoja tigo au voda bila kununua vifurushi japo mwezi unaruka siku tano unanunua cha jero tu utaona wanakubembeleza kwa bure mb au gb na vifurushi wanakuuzia bei chee mfano gb2 kwa buku tu, ukiwa unawaungisha sana tena kuanzia buku tatu tano ... Wanakuona wewe ni kigogo nakupa hilo