KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 4,547
- 4,143
Kwa siku ya leo nimeona makala mbili tofauti toka kwa wanaosema ni wafanyakazi wa NSSF. Moja ya makala haya yanampongeza sana Bw. Erio ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo na hii hapo juu inamtuhumu kwa makosa kadhaa na hivyo kumlaumu kwa kuliendesha Shirika hilo vibaya. Naona kuna jambo linafukuta ndani ya Shirika na hivyo ni vyema Viongozi husika wakafuatilia ukweli kuhusiana na jambo hili.