Malalamiko kuhusu kuvunjwa msikiti, uhamisho wa wahadhiri Waislam UDOM

Nanukuu:
" Sisi hatusemi kabisa kwamba uhamisho na uvunjaji wa Msikiti vilifanywa kwa sababu ya udini. Lakini kukosekana kwa umakini katika hatua hizo kunaweza kukatengeneza fursa ya dhana hiyo kupenya."
Mwisho wa kunukuu.

Naona awamu hii maustadhi mnatoa malalamiko yenu kwa lugha laini sana, iliyojaa unyenyekevu , adabu na ustaarabu mno.
Nafikiri mmesoma upepo mkaona aliyeko juu pale Jumba jeupe ni sampuli gani, mkikinukisha na yeye anakinukisha tena kwa risasi za moto kama uncle Ben wa Masasi alivyowafanya wapemba mwaka ule wa utawala wake.

Poleni sana aiseee.
Ila amri ikishatoka juu kushuka chini huwa hairudi tena juu ilikotoka.
 
ipo hivi, hao wahadhiri wa waislamu waliohamishwa walipaswa kufukuzwa kazi kabisaa na kufungwa jela na wala si kuhamishwa tuu kwani kosa walilofanya la kubadili matumizi ya ekari10 za eneo la chuo cha UDOM ( ambacho kimsingi eneo la serikali) na kulibadili kinyemela kwa ajili ya kujenga 'msikiti wa UDOM' bila kulishirikisha baraza la chuo UDOM ni kosa kubwa sanaa! ..........tena mkiendelea na uchochezi wenu tutafunguka kisawa sawa
 
Kumbe kuna mengi sana nyuma ya pazia??
Kwa nini viongozi wa dini wasiseme kweli tu, maana wenyewe daily wanahubiri kweli kwa waumini wao??
 
Uzuri ndugu zetu waislamu huwa hawakubali kuonewa, hii tayari ishu haitaisha leo
 
Tatizo hawa watu ni watu wakulalamika tu. Chuo cha tanesco morogoro waliomba kuazimwa majengo wafungue chuo baadae wajenge chao lakini hadi leo wameshabinafsisha.

Kwani udom kuna makanisa?? Kwanini wao wanalazimisha kujenga msikiti??
 
Kumbe kuna mengi sana nyuma ya pazia??
Kwa nini viongozi wa dini wasiseme kweli tu, maana wenyewe daily wanahubiri kweli kwa waumini wao??

yaani wanakaa watu 5 na kufanya uamuzi ambao ulipaswa kufanywa na uongozi, kisa ni waisl... na 'wakuu wa vitengo' na aliyepo madakani ni 'mwenzetu' hakuna wa kutubabaisha......... uongozi ukikaa na kutengua maamuzi wanalalama eti tumeonewa....nyuma ya pazia ya jambo hili yapo mengi sanaa, na busara kubwa sana imetumika kupunguza impact ya maamuzi mabovu kilicho fanya kikundi hicho cha majambazi chini ya mwamvuli ya uisl...!
 
Nanukuu:
" Sisi hatusemi kabisa kwamba uhamisho na uvunjaji wa Msikiti vilifanywa kwa sababu ya udini. Lakini kukosekana kwa umakini katika hatua hizo kunaweza kukatengeneza fursa ya dhana hiyo kupenya."
Mwisho wa kunukuu.

Naona awamu hii maustadhi mnatoa malalamiko yenu kwa lugha laini sana, iliyojaa unyenyekevu , adabu na ustaarabu mno.
Nafikiri mmesoma upepo mkaona aliyeko juu pale Jumba jeupe ni sampuli gani, mkikinukisha na yeye anakinukisha tena kwa risasi za moto kama uncle Ben wa Masasi alivyowafanya wapemba mwaka ule wa utawala wake.

Poleni sana aiseee.
Ila amri ikishatoka juu kushuka chini huwa hairudi tena juu ilikotoka.
Kazi kweli kweli
 
ipo hivi, hao wahadhiri wa waislamu waliohamishwa walipaswa kufukuzwa kazi kabisaa na kufungwa jela na wala si kuhamishwa tuu kwani kosa walilofanya la kubadili matumizi ya ekari10 za eneo la chuo cha UDOM ( ambacho kimsingi eneo la serikali) na kulibadili kinyemela kwa ajili ya kujenga 'msikiti wa UDOM' bila kulishirikisha baraza la chuo UDOM ni kosa kubwa sanaa! ..........tena mkiendelea na uchochezi wenu tutafunguka kisawa sawa
Mbona document za kuruhusiwa wanazo.
 
Mkuu tujulishe, walipewa hilo eneo kwa matumizi yapi?
 
Mbona document za kuruhusiwa wanazo.
babaaa babaaaa fojaliiii babaaaa......wanakaaa watu2 na kuamua maamuzi ya barazaa! ndiyo maana nimekwambia busara ya hali ya juu imetumika apo ku-neutralize 'wizi' uliofanywa na hao 'wahadhiri'
nguvu na rasimali kubwa sana zilitumika kukijenga hicho chuo lakini output quality bado haiendani na uwekezaji uliofanyika, ngoja safisha safisha ipite kwanza apo, kama mtakumbuka vizuri kipindi nyuma adi wa waalimu wa shule za msingi walikuwa wanapelekwa kufindisha apo .....
 
ipo hivi, hao wahadhiri wa waislamu waliohamishwa walipaswa kufukuzwa kazi kabisaa na kufungwa jela na wala si kuhamishwa tuu kwani kosa walilofanya la kubadili matumizi ya ekari10 za eneo la chuo cha UDOM ( ambacho kimsingi eneo la serikali) na kulibadili kinyemela kwa ajili ya kujenga 'msikiti wa UDOM' bila kulishirikisha baraza la chuo UDOM ni kosa kubwa sanaa! ..........tena mkiendelea na uchochezi wenu tutafunguka kisawa sawa

Mkuu unadhani waliamua kujijengea tu bila kupewa kibali chochote kile na mamlaka husika ?
 
Haya mambo ya dini ni very sensitive.. Kama waliomba na kupewa vibali vya kujenga, kwanini baadae waje kubomolewa..? Na kama ni kweli imetamkwa agizo limetoka juu, huko juu ni kwa nani..? Kuna hoja hapa inabidi izungumzwe kwa ustawi wa taifa letu.. Watanzania wengi wana muingiliano wa undugu kwenye dini hizi, tunatakiwa kuwa makini..
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom