Malaika Beach Resort..Mwanza

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
351
Malaika Beach Resort Mwanza...Jamani Hapa Ni Kiboko.
 
Attachments

  • Malaika Beach 03.JPG
    Malaika Beach 03.JPG
    115.2 KB · Views: 409
  • Malaika Beach 04.JPG
    Malaika Beach 04.JPG
    159.6 KB · Views: 375
  • Malaika Beach 08.JPG
    Malaika Beach 08.JPG
    199.7 KB · Views: 381
  • Malaika Beach 05.JPG
    Malaika Beach 05.JPG
    164.5 KB · Views: 369
  • Malaika Beach 07.JPG
    Malaika Beach 07.JPG
    294.6 KB · Views: 385
  • Malaika Beach 09.JPG
    Malaika Beach 09.JPG
    306.9 KB · Views: 350
  • Malaika Beach 10.JPG
    Malaika Beach 10.JPG
    184.9 KB · Views: 355
Nilikuwa huko January mwaka huu. Ni pazuri sana, ila ni security risk maana barabara inayoelekea huko usiku haina taa, kuna giza sana na kuna umbali mkubwa kutoka mjini. Ni rahisi kwa majambazi kufika hapo kwa boat na kufanya maasi na kutokomea ziwani.
 
Good Comment...Ila Nafikiri hata mwenye Hotel atakuwa anajua hili kuhusu usalama wa eneo hilo...kama unaweza wekeza pesa mingi namna hiyo...Security lazima.

Kuna Ile ingine inaitwa Lavena...uko luchelele mwisho kabisa..Jan nilikuwa uko...wakati naangalia maji na jua linatuama...mara mamba huyoo kwenye sehemu wanapo ongelea watu..akipita pita machoo juu...Nilisema sitofika hapo mpaka watakapo weka at least fance kuonyesha mpaka wa watu kuongea...huyu kiumbe alikuwa kama mita 70 tu ufukweni.
 
Lavena nilikuwa mwishoni mwa mwaka jana naweka picha shortly!
 
jamani mtuwekee na rates basi ili iturahisishie zaidi
 
Good Comment...Ila Nafikiri hata mwenye Hotel atakuwa anajua hili kuhusu usalama wa eneo hilo...kama unaweza wekeza pesa mingi namna hiyo...Security lazima.

Kuna Ile ingine inaitwa Lavena...uko luchelele mwisho kabisa..Jan nilikuwa uko...wakati naangalia maji na jua linatuama...mara mamba huyoo kwenye sehemu wanapo ongelea watu..akipita pita machoo juu...Nilisema sitofika hapo mpaka watakapo weka at least fance kuonyesha mpaka wa watu kuongea...huyu kiumbe alikuwa kama mita 70 tu ufukweni.

heeee dudu balaa hilo...kuna vibao vilivyoandikwa kutahadharisha watu kweli?
 
Mkuu asante sana naomba utuwekee rates ya yake hapa ili nasi tujichange. Ila jina lako tu ni Secondary niliyosoma Mwanza asante

Room ni 180USD.Ila anaendelea Kujenga vingine kwa ajiri ya wenye uwezo chini ya hapo....ujenzi unaendelea vyema...Kiingilia kwenye gate kama unakwenda kubalizi ni 5000tsh.Misosi si mbaya sana...kwa kuwa umeenda ku spend...watoto wana sehemu nzuri ya kucheza...i wish ningeanzisha kule kuwapaka rangi kama pale mlimani city...sema porini sasa uku niliko....
 
Mkuu asante sana naomba utuwekee rates ya yake hapa ili nasi tujichange. Ila jina lako tu ni Secondary niliyosoma Mwanza asante

Room ni 180 usd....kiingilio ndani ukiwa unakwenda ku balizi ni 5000tsh.Msosi ni kawaida...kuna sehemu nzuri ya kucheza watoto.
Ha ha ha ... mkuu jina ni kijiji na nachotokea...shule uko very close na ninapo isho.
 
Good Comment...Ila Nafikiri hata mwenye Hotel atakuwa anajua hili kuhusu usalama wa eneo hilo...kama unaweza wekeza pesa mingi namna hiyo...Security lazima.

Kuna Ile ingine inaitwa Lavena...uko luchelele mwisho kabisa..Jan nilikuwa uko...wakati naangalia maji na jua linatuama...mara mamba huyoo kwenye sehemu wanapo ongelea watu..akipita pita machoo juu...Nilisema sitofika hapo mpaka watakapo weka at least fance kuonyesha mpaka wa watu kuongea...huyu kiumbe alikuwa kama mita 70 tu ufukweni.

Panaonekana pako bomba, ila hao wadudu~Ng'wena~ mimi nawaogopa sana hao.
 
Malaika pazuri sana lakini hizo huduma wajameni, zinaweza kuboreshwa zaidi....!!!
 
The place looks nice, cha msingi tu ni je standards zitakuwa sustainable? Maana hilo ni tatizo kubwa sana la Hotel/ Resorts za Mwanza
 
wahudumu sifuri,hawana customer care,wapo wapo tu,sijui ni tempo?mayb wataajiri wataalam zaidi
ila wana vyumba maridadi sana sana sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom