Hivi kabla hujaleta mada kama hii hamna hata research kidogo unaweza fanya ?picha ya malaika aliyedondoka kutoka juu,huko London ,miaka ya nyuma kidogo
View attachment 1151844
View attachment 1151845
Binadamu wakimshangaa Malaika aliyedondoka toka juu.
Hahahaaaa hii chai nzito mi naomba kipooro nishushie vizuriNaomba na vitafunwa.
Mkuu Yamakagashi hili ni jukwaa la picha,hivyo nataka watu wajionee hizo picha.Unajuaje mimi kuleta picha hizo ndo nafanya utafiti hivyo?Hivi kabla hujaleta mada kama hii hamna hata research kidogo unaweza fanya ?
Au hii habari ipo jukwaa la jokes ?
Naomba na vitafunwa.
Akiwa mweusi anaitwa popoHivi kuna malaika weusi!?
Mbona kila kiumbe ni cheupe rangi ya mzungu
Hiyo ni picha tu mkubwa wangu,kama nilivyoiokota hukoooo,hasa ukizingatia kuwa hili ni jukwaa la picha,na nyingine hiyoUongo mtupu.
AiseeAkiwa mweusi anaitwa popo
Kiaje?Uongo mtupu.
HahahaHivi kuna malaika weusi!?
Mbona kila kiumbe ni cheupe rangi ya mzungu
Utotoni nilifundiswa malaika hana mwili.. ww ni mpagani eti!?Hivi kuna malaika weusi!?
Mbona kila kiumbe ni cheupe rangi ya mzungu
Akiwa na sura ya kizungu mnamwita malaika ila akiwa na sura nyeusi ni mchawi/kibwengo/jini .picha ya malaika aliyedondoka kutoka juu,huko London ,miaka ya nyuma kidogo
View attachment 1151844
View attachment 1151845
Binadamu wakimshangaa Malaika aliyedondoka toka juu.
Mbona kama kazidisha tangawizi afu kapunja mdarasinNaomba na vitafunwa.