Makwaia wa Kuhenga - A letter to JK and Calls for a Constitutional Reform

Magazette ya Kingereza ya Kenya huwa wanatumia lugha nyepesi na inayoeleweka kwa wasomaji wake tofauti na waandishi wa Tanzania:--marred- sporadically - cohesiveness- fragile- grandioselyNina wasiwasi kama hii ni mfano wa makala zilizo kwenye gazzette la Serikali
 
Kumbe na wewe uko kama mimi kwa upande wa kuzima tv! Simpendi kabisa na vipindi vyake vya "Je, Tutafika?" Ni vipindi vilivyojaa udini sana. Sasa ukichanganya na vile vya Sheikh Yahya vya kishirikina ndio siipendi sana Channel 10!

I guess, ameandika tu hii makala ili kwa bahati ikimfikia jk, labda JK atamwita akidhani ana ajenda ya maana. Lakini akifika huko ataenda kumshawishi jk aendekeza udini kuliko kipindi kilichopita.
 
Sipendi watu wadini sana!!!
Na sijui ilikuwa kwa mzee huyu, sijawahi kuvutiwa na vipindi vyake!!! I had never taken time to listen to him!!! What a coincidence!!

Wote wadini wamepoteza dira na muelekeo kama CCM- :A S crown-1:Sir. Horace Kolimba (RIP)
 
Hili kwa JK ni shairi la muda mlefu ambalo uwa akitaka kujiburudisha uwa anatafuta mtu amuimbie huku akiwa anasikiliza kwa kunya chai ya jioni (yaani kahawa) nafikiri kuna mtu mwenye sauti mzuri huwa anamuimbia kwani shairi hili la katiba mpya, tume uhu ya uchaguzi, hiyo CD hipo tangu enzi za Mr. Safi, ila juzi aliona tofauti labda anaweza kubadili fikra na kufatilia maana alikuwa anaandaa shairi nyingine ya udini na ukabira iliyotungwa na makamba na Chiligati na kusanifiwa na EL RA kwa mfumo wa mdundiko ambavyo Sofia Chui huucheza kwa kumkaribisha Meght wa Zakiemu arudi kufanya madudu kama alivyofanya hapo bot ya kiagamboni kwa kutawanya maela yaliyowafanya wakina RA kutuburuza kila wanapotuona hadi kuakikisha katiba haibadilishi, pole sana kwa ngunguri ambao kwa baati mbaya mriruhusu watu kupata haki yao kwani baadhi karibu mumeitwa karibu na mzee hili kusibiri kusitaafishwa huku wengine mkiangaishwa huku na kule lakini yetu macho ndege mjanja unasa tunduni, hat kuku aliwaahidi vifaranga vyake kuwa tusonge mbele kama kunyonya mtanyonya kesho lakini wakagundua na kumwacha peke yake!
 
Magazette ya Kingereza ya Kenya huwa wanatumia lugha nyepesi na inayoeleweka kwa wasomaji wake tofauti na waandishi wa Tanzania:--marred- sporadically - cohesiveness- fragile- grandioselyNina wasiwasi kama hii ni mfano wa makala zilizo kwenye gazzette la Serikali

You are right!
Na hii inapunguza uelewa wa ujumbe anayotaka watu uwafikie.
Kama mwalimu wangu wa kiingereza alivyokuwa anasema kingereza ni lugha ya yenye maneno mengi sana.
 
Hili kwa JK ni shairi la muda mlefu ambalo uwa akitaka kujiburudisha uwa anatafuta mtu amuimbie huku akiwa anasikiliza kwa kunya chai ya jioni (yaani kahawa) nafikiri kuna mtu mwenye sauti mzuri huwa anamuimbia kwani shairi hili la katiba mpya, tume uhu ya uchaguzi, hiyo CD hipo tangu enzi za Mr. Safi, ila juzi aliona tofauti labda anaweza kubadili fikra na kufatilia maana alikuwa anaandaa shairi nyingine ya udini na ukabira iliyotungwa na makamba na Chiligati na kusanifiwa na EL RA kwa mfumo wa mdundiko ambavyo Sofia Chui huucheza kwa kumkaribisha Meght wa Zakiemu arudi kufanya madudu kama alivyofanya hapo bot ya kiagamboni kwa kutawanya maela yaliyowafanya wakina RA kutuburuza kila wanapotuona hadi kuakikisha katiba haibadilishi, pole sana kwa ngunguri ambao kwa baati mbaya mriruhusu watu kupata haki yao kwani baadhi karibu mumeitwa karibu na mzee hili kusibiri kusitaafishwa huku wengine mkiangaishwa huku na kule lakini yetu macho ndege mjanja unasa tunduni, hat kuku aliwaahidi vifaranga vyake kuwa tusonge mbele kama kunyonya mtanyonya kesho lakini wakagundua na kumwacha peke yake!

Nina ngoja kwa hamu safari yake ya kwanza nje ya nchi. Anajifanya hakuna kinachoendelea lakini kila atakapo enda itabidi ajibu msimamo wake kuhusu Katiba mpya ukizingatia majirani zetu Kenya wamepata mpya.

Mr. President why don't you borrow a leaf from your northern neighbour on the issue of a constitutional reform?
Do you want to wait until it is too late?

Mungu Ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom