Makuyuni CCM wameshashinda hata kabla ya kupiga kura

Lekakui

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,451
589
Wana JF,

Jana katika pitapita zangu nilijikuta niko kwenye daladala inatokea Monduli, na humo ndani aliyewepo dada mmoja ambaye ni kada wa CCM, alichosema ni kwamba yeye ni CCM, lakini ukweli ni kwamba CHADEMA inawakosesha usingizi na akaenda zaidi na kusema LOWASA amewaambia wafanya juu chini kuiba kura na kuhakikisha makuyuni haiendi CHADEMA, alikiri kabisa kwamba sehemu nyingi nchini wamekuwa wakishinda sio kwa kuwa wanapigiwa kura bali ni kwa uizi wa kura,

My take:Iramba uchaguzi wa juzi CHADEMA walishinda vizuri kabisa lakini kwa mbinu hii ya mgamba je kitaeleweka 2015?
 
Badirisha uzi wako!
 
wana jf,

jana katika pitapita zangu nilijikuta niko kwenye daladala inatokea monduli, na humo ndani aliyewepo dada mmoja ambaye ni kada wa ccm, alichosema ni kwamba yeye ni ccm, lakini ukweli ni kwamba chadema inawakosesha usingizi na akaenda zaidi na kusema lowasa amewaambia wafanya juu chini kuiba kura na kuhakikisha makuyuni haiendi chadema, alikiri kabisa kwamba sehemu nyingi nchini wamekuwa wakishinda sio kwa kuwa wanapigiwa kura bali ni kwa uizi wa kura,

my take:iramba uchaguzi wa juzi chadema walishinda vizuri kabisa lakini kwa mbinu hii ya mgamba je kitaeleweka 2015?
sina imani kama unayosema ni sahihi
 
Wana JF,

Jana katika pitapita zangu nilijikuta niko kwenye daladala inatokea Monduli, na humo ndani aliyewepo dada mmoja ambaye ni kada wa CCM, alichosema ni kwamba yeye ni CCM, lakini ukweli ni kwamba CHADEMA inawakosesha usingizi na akaenda zaidi na kusema LOWASA amewaambia wafanya juu chini kuiba kura na kuhakikisha makuyuni haiendi CHADEMA, alikiri kabisa kwamba sehemu nyingi nchini wamekuwa wakishinda sio kwa kuwa wanapigiwa kura bali ni kwa uizi wa kura,

My take:Iramba uchaguzi wa juzi CHADEMA walishinda vizuri kabisa lakini kwa mbinu hii ya mgamba je kitaeleweka 2015?
Mkiambiwa mnywe kwanza chai kabla ya viroba hamtaki haya ndiyo madhala yake.
 
ujinga mtupu akili ndogo kuongoza akili kubwa.kachukue posho kwa lema

Tatizo la MAGAMBA ni COPY and PASTE. Ubunifu hakuna. Yaani hata nasaha za Mh. Mch. Msigwa tayari mmesha zihamishia kwenu!!??? POOR MAGAMBA and SHY AWAY.
 
Back
Top Bottom