Makusudi haikosi sababu !!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Salaam,
tumesuruhishaaaaaaaaaa wee , la kuvunda halina ubani. mwanamke mwisho wa yote ili kuhalalisha utashi wake wa kuachika anadai MUME HUYU HAJUI KUNANIHIIIIIIIIII , hapo wana watoto 3. miaka ya ndoa 7. Tukaishiwa maneno wengine tukajirudia majumbani mwetu huku maswali vichwani yakikosa, majibu miaka saba ya ndoa mmezaaje watoto huku mwenzako hajui kunanihiiiiiiiiiii............?
 
Haiwezekani wa miaka saba waachane kitoto ivyo! hua wanaachana kwa heshima na gemu wanakumbushia ki mtindo
 
Kwani kuzaa watoto ndo justification ya kumkuna ke vizuri? Mbona kuna artificial insemination? Ila miaka 7 bila kubanjuliwa vizuri na stil akavumilia ni maajabu, ama alikuwa na mpemba muuza genge pembeni? Hilo jambo halivumiliki ndo mana ni vyema kutest ujuzi kabla lol
 
Ame-learn wapi au vipi kama jamaa hajui kufanya kweli? Je, huyo anayefikiri anajua kusukuma steak vizuri ana-meet viwango vya juu vya kusukuma steak?!
 
cha ajabu nini hapo?

ndio mwanamke kagundua mwanaume hajui kunaniliuuuuu

ndio itakua alitoka nje akakutana na wajuzi, akagundua mumewe alikuwa anambaka tu siku zote hihihihihihihi

ndoa hizi...........

Salaam,
tumesuruhishaaaaaaaaaa wee , la kuvunda halina ubani. mwanamke mwisho wa yote ili kuhalalisha utashi wake wa kuachika anadai MUME HUYU HAJUI KUNANIHIIIIIIIIII , hapo wana watoto 3. miaka ya ndoa 7. Tukaishiwa maneno wengine tukajirudia majumbani mwetu huku maswali vichwani yakikosa, majibu miaka saba ya ndoa mmezaaje watoto huku mwenzako hajui kunanihiiiiiiiiiii............?
 
Aseee kabakwa for seven yrs lol
cha ajabu nini hapo?

ndio mwanamke kagundua mwanaume hajui kunaniliuuuuu

ndio itakua alitoka nje akakutana na wajuzi, akagundua mumewe alikuwa anambaka tu siku zote hihihihihihihi

ndoa hizi...........
 
Ni upuuzi mtupu, kujipenda na kuwekka maslahi binafsi...huko anakotaka kwenda alidhani atakuta Pepo ina msubiri. Mmmh sasa ina maana huyo jamaa hao watoto sio wake pia??? Hadithi nyingine tena hii
 
Salaam,
tumesuruhishaaaaaaaaaa wee , la kuvunda halina ubani. mwanamke mwisho wa yote ili kuhalalisha utashi wake wa kuachika anadai MUME HUYU HAJUI KUNANIHIIIIIIIIII , hapo wana watoto 3. miaka ya ndoa 7. Tukaishiwa maneno wengine tukajirudia majumbani mwetu huku maswali vichwani yakikosa, majibu miaka saba ya ndoa mmezaaje watoto huku mwenzako hajui kunanihiiiiiiiiiii............?

Ukae na mtu miaka 7 ndo umuone hafai, bado sijashawishika kwa sababu aliyoitoa huyo dada! Ki-ukweli atakuwa amemchoka huyo jamaa na kaamua kutoa sababu hiyo mbaya ya kumdhalilisha mpenziwe ili kuhalalisha kupewa talaka ...
Atakuja kumkumbuka!
 
Back
Top Bottom