Makusanyo ya tozo: Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa?

nduza

JF-Expert Member
Feb 7, 2019
1,595
2,497
Salaam wakuu,

Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie.

Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani miamala laki moja mara laki mbili ambayo kila muamala Wa laki moja tozo yake ni 3500

Sasa 3500 inayopatikana kwenye kila laki moja mara laki mbili ambayo ndiyo idadi ya miamala ni zaidi ya bilion saba kwa siku kwa tathmini ndogo sana tu.

Hapo tukiwa tumeacha makadirio ya miamala milioni tisa na laki nane ambayo tufanye hatujui ni kiasi gani tuachane nayo

Kwa hii miamala laki mbili tu ya laki mojamoja inatupatia bilion saba kwa siku mara mwezi ni zaidi ya bilion mia mbili
Kumbuka hili ni pato jipya.

Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa

Nilichoka sana liposikia kwamba kwa wiki nne serikali imekusanya kutoka kwenye tozo bilioni 48 how?

Wananchi wanaumia kwa tozo kubwa lakini huu ufisadi utazibitiwa vipi.

Baada ya kutajwa hicho kiasi nilidhani watu watalipuka kwa mshangao na kuhoji kivipi iwe hivyo lakini naona watu wameridhika
Huwenda mimi mawazo yangu hayako sawa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
TVJd-1.jpg
 
yaani ukiotea sehemu ukatoboa tundu dogo la kunyonya kwenye hili bomba la tozo za miamala ndani ya mwaka 1 unaandikwa bilionea mpya nchini
 
Salaam wakuu,

Nimejaribu kutathmini kuhusu hii tozo na wataalamu zaidi watusaidie.

Nimeskia takwimu zikisema kuwa kwa siku inafanyika miamala milion kumi nchi nzima kwa mitandao yote ya simu sasa tuassume kwamba katika miamala yote hiyo miamala laki mbili tu ni ya shilingi laki moja yani miamala laki moja mara laki mbili ambayo kila muamala Wa laki moja tozo yake ni 3500

Sasa 3500 inayopatikana kwenye kila laki moja mara laki mbili ambayo ndiyo idadi ya miamala ni zaidi ya bilion saba kwa siku kwa tathmini ndogo sana tu.

Hapo tukiwa tumeacha makadirio ya miamala milioni tisa na laki nane ambayo tufanye hatujui ni kiasi gani tuachane nayo

Kwa hii miamala laki mbili tu ya laki mojamoja inatupatia bilion saba kwa siku mara mwezi ni zaidi ya bilion mia mbili
Kumbuka hili ni pato jipya.

Sasa serikali inafanyia nini hizi pesa

Nilichoka sana liposikia kwamba kwa wiki nne serikali imekusanya kutoka kwenye tozo bilioni 48 how?

Wananchi wanaumia kwa tozo kubwa lakini huu ufisadi utazibitiwa vipi.

Baada ya kutajwa hicho kiasi nilidhani watu watalipuka kwa mshangao na kuhoji kivipi iwe hivyo lakini naona watu wameridhika
Huwenda mimi mawazo yangu hayako sawa

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hahahahahah kwa mwezi ni more than 300B zinakusanwa sema ipo siku kuna mtu atadhurumiwa tu kwenye hio chain ya upigaji ipo siku ataropoka tu!

Michezo ya deal chafu za hela huwa mwisho wake ni kuumbuana tu. Kuna migao itapita watadhurumiana tu wataropoka hapo ndipo sasa wananchi itabidi tukamle mtu nyama akiwa mzima.
 
Back
Top Bottom