Kwa mujibu wa Ripoti ya BOT, hesabu inasomaa hivyo, that means, kila mwezi Serikali Ina upungufu wa 160 bilion. Ulaya wamekataa kutoa tena mikopo kwa sababu ya utawala hautaki kufata sheria, democrasia imetoweka, Zanzibar pia ni tatizo kubwa, kuminywa kwa uhuru wa mitandao ya kijamii.
Mwaka huu ni dhahiri kuwa ni mwaka wa ukame. Mpaka sasa halmashauri hawajapata fedha. Means hakuna fedha kwa miradi ya maendeleo, Serikali ikiamua Kama inavyotaka kukopa ktk benki za ndani basi hali itakuwa mbaya mno kwa kampuni na wafanyabiashara wanaotegemea mikopo kwa ajili ya biashara zao.
Riba ya fedha kutoka Ulaya ni 6% riba ya benki za ndani ni 18 negotiable, Riba ya falme za Waarabu ni 14% hapa nilipo naona kizunguzungu. Wataalam wa uchumi wamekaa kimya hawashauri nini kifanyike.
Mimi ningewashauri hivi, kwanini msiendeshe inchi Kidemokrasia ili mkarudisha uhusiano na hawa wa Ulaya ambao wamekuwa ni msaada mkubwa kwetu tangu tupate Uhuru, kwanini msitafute Suluhu ya haraka huko Zanzibar kwa Maslahi mapana ya Tanzania. Tusipokuwa makini, Naiona Kabisa nchi ikielekea kuwa Zimbabwe kwa sababu tu ya Viburi vya watu wachache. Hii Nchi siyo Mali ya mtu. Ni nchi yetu sote, Tumpige vita kwa pamoja yeyote anayetaka kuididimiza bila kujali ni wa chama gani au wa Dini gani au wa Rangi gani!