Makundi ya WhatsApp ya makazini yafutwe, tuheshimuni weekend zetu na muda wa mapumziko

Tuwahimize watoto wetu wasije kufanya kazi za kitumwa (kuajiriwa) kama wazazi wao. Waanze kujiandaa tangu wakiwa shule, kufanya mipango na mikakati ya KUJIAJIRI mara watakapomaliza masomo yao.
Wote wataweza kujiari ? Unafikiri kijiajiri ni rahisi tu siyo ? Acha kujidanganya
 
Uongo wala hujaariwa. Wafmdanganye wenzio ili wapoteze kazi
Mara kibao huwa naona ujumbe unaohusu maelekezo ya kazi nakaa kimya sifanyi chochote siku mnakutana nawambia mi sijaonana ujumbe wowote, hujaninunulia bando hivyo Nina haki ya kusema sikuwa na bando hata Kama umeniona online nafanya Mambo yangu. Ukiwa na shida zaidi nikiona miyeyusho nayo siipoke.
 
Wafanyakazi wa umma ni zaidi ya ndondocha ni ngumu ku-left pasipo sababu maalumu vinginevyo unafutwa kazi Kwa ishu ndogo Tu kama hiyo
Umesahau yule mbunge wa rombo walivyo mremove kwenye group la wasap hadi akaitisha press conference kulalamika? Wafanyakazi wa umma unawasingizia tu, chadema ndo wanaongoza kuwa ndondocha!
 
Utumwa huu

Thamani yako kwenye ajira, kama ambavyo inaonekana na malipo unayoyapokea, inapimwa kwa namna ilivyo rahisi/vigumu kutafuta mbadala utakaoweza kufanya shughuli zako.

Kama ukiondolewa halafu pana msururu wa waombaji wenye sifa, ujuzi, maarifa na weledi kama wako na pengine kuzidi, usalama wa ajira yako uko wapi?
 
Wafanyakazi wa umma ni zaidi ya ndondocha ni ngumu ku-left pasipo sababu maalumu vinginevyo unafutwa kazi Kwa ishu ndogo Tu kama hiyo
Hakuna haha ya ku left. Nunua kitochi endelea na maisha. Anayehitaji kukuwasap akununulie smart.

Huko kazini sasa, simu tangu, kifurushi changu. Unanipa maagízo kwa wasap. Kwani ndiyo official communication?

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Haiwezekani Jumamosi, Jumapili, Sikukuu usiku wa manane, kiongozi kwa utashi wake eti anatoa maagizo kupitia group la WhatsApp.

Jamani tuheshimuni weekend zetu na muda wa mapumziko, kazi zilikuwepo na zikifanyika tu hata kabla ya WhatsApp.

Inaboa sana unakutana na kiongozi mtaka sifa kila muda kutoa maagizo tu anavyojisikia, kama haujaona meseji ugomvi unaanzia hapo, daaaah hivi hii imekaaje wadau tujadili hizi mambo kwa upana, kabla hatujaanza kutoleana nishai huko mbeleni.
Kuwa na namba ya kazini na ya mume wako, hiyo ya kazini ukitoka ijumaa unazima data, na kuwasha jumatatu alfajiri baada ya morning glory.
 
kuna bos wangu alnpgia jmos usku na n saa nne Jumatatu anzia ofsin kwangu nkasema sawa jpil usku akanpgia tena nakwambia kesho uanzie ofsn kwangu ***** nlmtukana af kesho yake nkamwambia nlkua Balimi wakat unanpgia sio muda wa kaz uo
umtisha mkuu
 
Group la whatsapp la kupeana maagizo ya kazi?? Labda madaktari na maaskari!

Kiongozi sahihi, atawasiliana nawe personally, na atakutaka radhi kwa kuharibu wkend yako. Akihitaji ufanye jambo.

Everyday is Saturday................................ :cool:
Hujafanya kazi na maboss zetu hawa

Maagizo na maelekezo yote yanapatikana whatsap

Ukiwa huna bundle unaweza kosa kazi hivihivi
 
Back
Top Bottom