Makundi ya wanawake wanaoongoza kuliwa tunda kimasihara kwa mujibu wa maoni ya wadau kwenye uzi wa rikiboy

Buffet

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
639
1,569
Naomba nikiri kuwa pamoja na ufinyu wa muda unaonikabili mimi ni kati ya watu ambao wameusoma Uzi wa tunda na masihara yake mwanzo hadi hatua uliyofikia muda huu navyoandika.

Kwa mujibu wa shuhuda zilizotolewa na watu wa masihara ktk kula tunda. Yafuatayo ni makundi ya wanawake wanaolika kimasihara, twende pamoja.

1. Ma-housegirl
Hili ni group linaloongoza kwa kutoa tunda kimasihara,wanawake ambao mnaishi na mabinti wa kaz na mnashuhudia badiliko la kinidham kwa waume zenu (wamekuwa wanyenyekevu na watiifu) kuliko zaman jueni tunda na masihara yake yanalika kizembe.

2. Mashemeji (Dada au wadogo wa mke)
Hili kundi pia linajitahidi sana masiharani, hasa wale walioko vyuoni wanapoenda kwa dada likizo au kuweka makazi ya muda wakiwa wanafanya mafunzo kwa vitendo (field). Hapa pia wale wanaoenda kwa Dada kukaa wakiwa wanasubiri majib ya job applications hukumbana na masihara ya tunda.

3. Wapenda misaada (lift, free lunch, offer za bia na watafuta ushauri)
Hili kundi hujikuta limeamgukia masiharani pengine kwa kutarajia.

4. Watawa (masister)
Hawa watu pia wanajitahidi kweli kweli. Trend kwenye Uzi wa rikiboy inaonesha hawako nyuma, hawakubali kupitwa na huu ushuhuda; waseminari wamewala sana kimasihara.

5. Wanawake kwenye nyumba za kupanga
Hapa haijalishi ni single mothers au wameolewa, inaonekana huko kwenye nyumba za kupanga, hasa uswahilini, masihara ni kibao kwenye matunda kula.

Pamoja na mazingira ya kazi kwa manesi na maaskari hasa kwa night shifts, hawa watu trend zinaonesha hawaliki kimasihara. So, naomba kuwatoa wasiwasi wanaume waliooa manesi na maaskari; wake zenu hawaliki kimasihara hata kwenye zamu za usiku.

Naomba Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii wamtumie rikiboy kuandika makala za kuhamasisha utalii wa ndani maana mwandiko wake unaeleweka na umetokea kupendwa sana.

Nadhani hamasa itakuwa ya hali ya juu kuliko kutumia wasanii kwa gharama kubwa.

Angalia rikiboy amefanya had mzee wa 'ku-dikilaresheni of interesiti' (Pascal Mayalla) amepunguza kupost, maana watu wako bize na shuhuda za masihara ya tunda.

Hata Mshana Jnr haleti tena nyuzi za mauzauza maana hazina soko tena.

Hebu ongezea kundi la wanawake wanaolika kimasihara.
 
kali linux, hahahaaaaaaa, rikiboy mshenzi sana,yaani Uzi wake umefanya hapa jf matukio ya kitaifa hayapewi nafasi kubwa na wadau,sherehe za mapinduzi hazkujadiliwa kwa kina sabab ya Uzi wake,hata sarakasi za kigwangala na karibu mkuu wake prof mkenda hazkufua dafu kwny huu Uzi,narudia tena rikiboy ni mshenzi balaa tupu
 
Back
Top Bottom