Makundi ya wakulima, wafanyakazi na wafanyabiashra ndio yaliyoathirika na uongozi awamu ya tano

Joyce joyce

JF-Expert Member
May 23, 2020
457
1,973
Wakuu, kichwa cha habari hapo Juu kinajieleza, Lakini pamoja na kujieleza naomba nianze kufafanua kila kundi, hata hivyo kabla Ya kufafanua ngoja nianze Kuelezea nini wajibu wa muomba ridhaa katika kuongoza nchi

Yoyote anaeomba ridhaa Ya kuongoza nchi anakuwa na lengo moja tu la kuwaletea watu Maendeleo, kwa njia nyingi tofauti tofauti, pamoja na njia kuwa nyingi zote zinalenga kuboresha maisha Ya wananchi kimakundi na mmoja mmoja, mfano wakulima wafurahie ukulima wao, walime kwa unafuu zaid, wapate mbegu Kwa unafuu zaid, wapate eneo la kulima lisilo na bugudha na mwisho wapate mahali pakuuza mazao yao Kwa bei Nzuri na Kwa Wakati.

Wafugaji wapate mahali pa kufugia malisho na waweze kupata mahali pa kuuzia mifugo yao Kwa faida.

Wafanyabiashara wapate mazingira mazuri ya kufanyia biashara na wauxe Kwa faida na kusiwepo na usumbufu wa watoza kodi na kodi iwe rafiki kwao

Wafanyakazi wawe na mazingira bora Ya Kazi, wawe huru, mishahara iboreke na nyongeza ifanyike Kwa Wakati

Vijana wapate ajira Nzuri na zenye tija

Wakuu hayo ndio makundi makuu Ya wananchi yanayolengwa na muomba ridhaa Kwa upande wa kutaka kukabidhiwa nchi, hata ukiwa huna Elimu hapo Juu utakubaliana na Mimi Kwa asilimia Mia, hivyo hata ukifanya mbwembwe zooote mwisho wa Siku kwa upande wa manufaa Ya mtu mmoja mmoja Au makundi lazima hayo yatimie nimeacha swala la miundombinu maaana hilo nalo nila msingi japo la msingi zaid ni hilo nililoeleza ndilo linalogusa kila mtu moja Kwa moja

Sasa twende kwenye awamu ya tano, utakubaliana na Mimi kuwa hayo Yote awamu Ya tano badala ya kuyaendeleza mbele imearudisha Nyuma

1. Wakulima, mazao makuu ya nchi hii ni Korosho, kahawa na pamba na hayo ndio yanayozungumziwa na kila mgombea kwenye majukwaa, Korosho kule kusini mnajua kinachoendelea kuwa watu walinyanganywa Korosho had sasahivi kuna watu hawana matumaini Ya kulipwa huo ndio ukweli wameambiwa kuwa wao ni kangomba, wale wengne wameteska Mwaka mzima wakifuatilia malipo yao wameumia na wamejuta kulima Korosho, Ndio awamu ya Kwanzaa kufanya wakulima wa Korosho kujuta kuitwa wakulima na wengi wao wameanza kufyeka mikorosho hawataki tena,

Kule kwenye pamba kila Siku munaona kwenye TV malalamiko kila kona munaona wanavyojuta kuitwa wakulima wa pamba

Ukija kwenye kahawa hapa Sina mengi wenyewe ni mashahid

Ukija kwenye mifugo huu ndio utawala wa kwanza kunyanganya mifugo ya wafugaji, Watu walinyanganywa mifugo na serikali hadi huruma na wote mlikuwa mnashuhudia kwenye TV

2.wafanyakazi ,huu ndio utawala uliowafanya wafanyakazi wa serikali wajute kufanya Kazi serikali, hawakuongezewa mishahara miaka Yote hawakupandishiwa vyeo hawakuheshimiwa, wakifukuzwa pasipo utaratibu siwez ongea mengi maana nyie wote ni mashahid kuwa hata wale Wa sekta binafsi hawsruhusiwi kuchukua mafao yao hata wakiacha Kazi had miaka 60

3. Ajira kipindi cha kikwete vijana walikuwa wanaajiriwa moja Kwa moja toka vyuo tena ni kila Mwaka na walikuwa wanachukuliwa wooote maelfu na maelefu hilo pia haliihitaji kufafanua zaid linaeleweka Lakini awamu hii hilo limekuwa ndoto Ya alinacha

4.wafanya biashara hawajawahi teseka Kama awamu hiii, wafanya biashara wamenyanyasika kuliko kipindi chochote kile biashara zimefungwa kila kona ya nchi wafanya biashara hawajawahi kuumia Kama kipindi hiki

Wakuu, Mimi nimeeleza mambo ya msingi na kuyafafanua kwa ushahidi wa wazi labda tu wale wakujitoa ufaham waje kunikosoa Lakini kila mtu haya ameyaona

Sasa nauliza Kama mtu aliepewa mamlaka Ya kusaidia kusaidia watanzania katika kuwaletea Maendeleo Halafu mambo yoooote Ya msingi yamerudi Nyuma kiasi hicho, huyo anaemsifia awamu Ya tano anatumia nini kufikiri?

Na iweje aombe tena nafasi Ya miaka mitano?
 
Hamna uongozi wowote unaoweza timiza haja ya kila mwananchi

Hamna uongozi wowote utakaomaliza au utakaoingia usiache lawama.
 
Ongeza sauti kidogo
 
ikiwa hao unaowataka chamani tu wanamfumo mbovu je ukiwapa nchi itakuwaje? mfano mdogo chadema inautaratb wakuwakata pesa wabunge wake ajili ya matumiz ya chama wapi umeona utaratbu huu dunia nzima, je ruzuku haiwatoshi? au ni tamaa za yule mungu mtu mlevi wa chadema? nijibu niendelee kukutoa tongo tongo.
 
Ccm wenyewe wanakusanya kodi na walijimilikisha zile Mali za umma za Wakati Wa chama kimoja na zote wamejimilikisha, wanachukua pesa toka hazina wanafanyia Kazi za chama Lakini bado wanaenda kuchukua PESA toka Kwa wafanyabiashara wakubwa na ruzuku inapata zaid ya Mara Mia kwa chadema , sembuse chadema wasio na pesa za hazina ,waliona ruzuku kiduchu
 
m 400 ni ndogo? mbona vyama vingine vinapokea ruzuku pungufu ya cdm bt havifanyi huo uhuni?
 
Uhuni upi chadema kaufanya? Ccm ndio wanaofanya uhuni Kwa kuwaua wananchi wanaoonekana ni wanachadema, Ccm ndio inayoua watu na kuwapiga marisasi, Ccm ndio inayomiliki kikundi cha kiugaid cha musiba Au hujawaona? Tatizo nikuwa chadema inapendwa sana na wananchi sasa nyie badala Ya kutuchukia sisi mnachukia neno chadema, msiwe na hasira ndio maaana kuna sheria Ya vyama, mlimnanganya mbowe Mali zake, mkajikuta bado chadema inapendwa, mkanunua madiwani wooote na wabunge mkajisifu kuwa mmeiua sasa mnachanganyikiwa Kuiona inanawili mkawapiga marisasi na kuwavunja miguu mnashangaa inazid kupaaa mnachanganyikiwa sasa
 
haya maneno ni ya mtu asie na ajira, amekata tamaa kabisa, hana uhakika wa kula na hajui hatma yake ni nini, kwa msaada zaidi andika namba hapa tukutumie hata pesa ya kula dada
 
Back
Top Bottom