Makundi ni ngumu kudumu, sababu kubwa ni sisi mashabiki tuna mtindo wa kuwasifia wasanii fulani kwenye kundi na kuwaona wengine useless, mfano shabiki anaweza sema "we Nature ndo mkali wao, unawabeba sana, ukiondoka tu na kundi linakufa", ukimwambia hivyo msanii bichwa linakuwa kubwa na kujiona yeye ndio yeye baada ya mda anajitoa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.