Makundi ya muziki wa Bongo flavour yaliyokuwa na chachu katika ustawi na ushindani sokoni

Kama ni juzi, jana na leo
Mwandishi kaongelea jana.
Ungeanzia juzi kwa kina GWM, HBC, WWA, 4CF...
 
Makundi ni ngumu kudumu, sababu kubwa ni sisi mashabiki tuna mtindo wa kuwasifia wasanii fulani kwenye kundi na kuwaona wengine useless, mfano shabiki anaweza sema "we Nature ndo mkali wao, unawabeba sana, ukiondoka tu na kundi linakufa", ukimwambia hivyo msanii bichwa linakuwa kubwa na kujiona yeye ndio yeye baada ya mda anajitoa.
 
hakuna kundi liliitangaza game ya bongo hip-hop kimataifa kama my home-boys X-Plastaz. Ila siku zote hawapewi heshima wanayostahili.
 
Mbona haya makundi ni ya miaka ya 2000,!??

Waanzilishi wenyewe miaka ile ya 90s mmewasahau wapi!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom