Makubwa: Mugabe ni shoga, mbunge adai na kusweka lupango!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,135
mbunge alazwa ndani kwakumuita mugabe boflo la mwaka 2011
Mbunge wa chama cha MDC (Movement for Democratic Change) cha nchini Zimbabwe amejikuta akiingia matatani baada ya kudai rais wa Zimbabwe, Robert Mugabe alifanya mapenzi ya jinsia moja.

Mbunge huyo wa kike aliyetajwa kwa jina la Lynette Kareny alisema kuwa Robert Mugabe ambaye pia ni rais wa chama tawala cha Zanu-PF alifanya mapenzi na wanasiasa wawili wa kiume.

"Karenyi anatuhumiwa kutoa kauli hiyo ya kumkashifu kiongozi wa nchi wakati wa mkutano wa hadhara wa chama cha MDC uliofanyika disemba 9 kwenye viwanja vya mpira vya Chimanimani,” limeripoti gazeti la The Herald la nchini Zimbabwe.

Mugabe ambaye anajulikana kwa kauli zake za kupinga ushoga ambapo huwafananisha mashoga na wasagaji na nguruwe na mbwa.

Mwezi uliopita, Mugabe alimuita waziri wa Uingereza shetani kufuatia kauli yake kuwa nchi zinazotaka misaada toka kwa Uingereza lazima zikubali kutetea haki za mashoga na wasagaji.

Karenyi alisherehekea krismasi akiwa mahabusu baada ya kukamatwa tarehe 19 disemba kabla ya kuachiwa baada ya siku saba kwa dhamana ya dola 200.

Karenyi na chama chake walikataa kusema chochote kuhusiana na sakata
 
Zim MP held after saying Mugabe is gay
2011-12-29 22:02
mugabe4.jpg
Harare - A Zimbabwean parliamentarian was held in custody for seven days after saying President Robert Mugabe had gay sex with another politician, state media reported on Thursday.

The state charged Lynette Karenyi, of the Movement for Democratic Change, with saying "Robert Mugabe, president of Zanu-PF, had homosexual relations" with another politician, according to The Herald newspaper.

"Karenyi is alleged to have insulted President Mugabe, while addressing an MDC rally held on December 9 at Nhedziwa football grounds in Chimanimani," the paper reported.

Mugabe who is known for saying that gays and lesbians are "worse than pigs and dogs" last month labelled British Prime Minister David Cameron "satanic" for saying that countries that want aid from London must accept gays rights.

Both Karenyi and her party declined to comment on the matter to AFP but the newspaper said she was "denying the allegations being levelled against her".

The politician was released on Thursday after paying $200 bail.

The MDC and Mugabe's Zanu-PF are in an uneasy government of national unity following disputed polls in 2008.

The MDC has accused the police of arresting their officials and supporters on trumped up charges to settle political scores.

- SAPA

Balaa nyingine ni za kujitakia. Huyu Karenyi anachezea makaa ya moto!
 
Kaaazi kwelikweli, siamini kama ni kweli. Labda mi ni Thomaso hivyo nadai ushahidi.
 
Inaweza kuwa kweli. Mtangulizi wake Canaan Banana alifungwa kwa vitendo vilivyo kinyume na maumbile!
 
For Mugabe big No!
Hata mchawi akionewa tusimame kumtetea!
Can you produce concrete evidence to support your argument! To be honest MR Lynette Kareny created doubt on the matter,a thorough investigation must be made to come up with the truth!
 
Tayari huyu mbunge alomsingizia keshaachiwa huru.

SOURCE: BBC News - Zimbabwe MP Lynette Karenyi free over 'Mugabe gay' jibe

Some hints from the news:
A Zimbabwean MP has been freed after spending Christmas in jail for allegedly saying President Robert Mugabe had had gay sex, local media say.

Lynette Karenyi, from the former opposition Movement for Democratic Change (MDC), is said to have made the comments at a rally on 9 December.

Insulting the president is a criminal offence in Zimbabwe, whose leader is known for his anti-homosexual views.

The MP has denied making the comments.

She was arrested on 19 December after allegedly saying Mr Mugabe had had sex with two male politicians.
 
Hapana Mugabe hawezi kuwa shoga kwa namna yeyote ike. Kama Mugabe ni shoga basi kila mtu hata sisi tunaoshiriki mjada la huu ni mashoga
Kweli JF ni MSETO,kuna watu wa aina mbalimbali,embu tujiulize maswali yafuatayo!
kwanini mgabe hawezi kufanya hivyo?
Je yeye si binadamu ?
Je waliwahi kufanya hivyo kama akina canon banana hawakuwa binadamu?
Je kuna uhusiano gani kati ya yeye akiwa shoga,basi na sisi ni mashoga?

Ni vema tuwe makini katika kuchangia na kama ikiwezekana kama huna la kuchangia ni vyema kukaa kimya!
 
Swali zuri sana;
Nasema wamemsingizia maana lau kama na yeye angelikuwa cameron (gay) asingemwita Cameron shetani kwa kutetea haki za mashoga.

Kama umesahau naomba ubonyeze hapa Mugabe calls Cameron ‘Satanic' for defending gay rights | The South African

MKuu lazima uelewe kitu kimoja,kuna baadhi ya binadamu ni wanafiki,hivyo usababisha ukweli kufichika.Kwa kuwa mambo haya hufanyika kwa siri ni vigumu sana kuujua ukweli.kumbuka mkuu kabla ya taarifa hii kulikuwapo na mvutano mkubwa wa kisiasa kati ya David Comeron na mgabe,hivyo si raisi kwa mugabe kucomment vizuri kwa comeron au comeron kwa mugabe.Cha mwisho mkuu,si lazima mashoga wote wawe kitu kimoja,wao kama binadamu wengine wakati mwingine utofautiana kimsimamo!
 
Nadhani hamjaelewa kuwa shoga sio lazima uwe una bandsuliwa hata wewe unayebandua mashoga ni shoga!

Hivi kumbe anayebandua mashoga na yeye ni shoga?!!...mimi nilijua ni Mende au sjui naskiaga wanaita Basha! Lo, mugabe wanakubandua m2wangu...hahahaaa, sipati picha..na ubishi wote huo wanaume wanakubinjua..hooooooooooo disgusting!
 
si lazima mashoga wote wawe kitu kimoja,wao kama binadamu wengine wakati mwingine utofautiana kimsimamo!

Mkuu, tunatambua kuwa mifarakano baina ya watu wenye same interest hutokea, na mfano ni katika siasa na imani.
Lakini for Mugabe you cant convince me, he hates gays to the maximum mpaka kufikia kuwaita gays wote kuwa ni wabaya kuliko nguruwe na mbwa it too deep.
Soma hapa:
Mr. Mugabe said that homosexuals were “worse than pigs and dogs” and warned those practising in his country: “We will punish you severely.”

His comments come as Zimbabweans get ready to vote next year on a new constitution that could offer some legal protection to homosexuals in Zimbabwe. At present, those caught engaging in same-sex relationships face prison terms.

SOURCE: Mugabe – Homosexuals Are Worse Than Pigs And Dogs | Zambian Watchdog
 
Hivi kumbe anayebandua mashoga na yeye ni shoga?!!...mimi nilijua ni Mende au sjui naskiaga wanaita Basha! Lo, mugabe wanakubandua m2wangu...hahahaaa, sipati picha..na ubishi wote huo wanaume wanakubinjua..hooooooooooo disgusting!
Asije akakusikia, utajuta kuzaliwa!
 
The MP has denied making the comments.
Unajuwa hawa west wakikuchukia, basi hata udaku utaongezewa chumvi plus magadi na vikorombwezo vingine, then kuwekwa kwenye front pages as facts...

Sasa kwa wale wavivu wa kusoma wata conclude tu Mugabe ni gay!
 
Back
Top Bottom