Makubwa hayooo jamani Tanzania Kulikoni? Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makubwa hayooo jamani Tanzania Kulikoni? Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jan 30, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 3"]
  <tbody>[TR]
  [TD][TABLE="width: 724"]
  <tbody>[TR]
  [TD]Mwanaume Aliyejigeuza Mwanamke

  [​IMG]

  Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]


  [​IMG]

  Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.  [​IMG]

  Kwa haraka haraka au bila kuambiwa unaweza kuamini kabisa kuwa huyu kwenye picha ni mwanamke mwenye makalio makubwa kama ya wale wanawake waliojidunga sindano za wachina, lakini cha kustaajabisha huyu ni mwanaume aliyebadilisha jinsia yake kuwa mwanamke. Gonga Life Style kwa habari kamili.  Huyu Shoga Anaye taka namba yake ya simu niambieni nitampa ninauza namba yake ya simu dola 2000
   
 2. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,854
  Likes Received: 4,521
  Trophy Points: 280
  Duh! Kumbe bizness promo!
   
 3. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Mku Inzi Waswahili husema Mjini ni shule pasipo na Bizness tutakula wapi? Mkuu
   
 4. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tangazo la biashara
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Unavyofikiria wewe sio tangazo la biashara ni picha tu Mkulu.
   
 6. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nunua mwenyewe
   
 7. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Fei!!!!
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Hukulazimishwa kumnunuwa mkuu Utajibeba mwenyewe.
   
 9. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Mmmmhh!
  Hii ni mbaya na laana!
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Kwa waafrika ni laana kwa Wazungu ni Life Style yao hii ni kitu cha kawaida kwa huku Ughaibuni Majuu.
   
 11. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  duh hilo shape utadhani kabumbwa na udongo,hamna ushirikiano kabisa khaa
   
 12. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duh!!!! Anawezaje kubeba mzigo woooote huo? Hii ni kufru sasa.
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  kajitengeneza vizuri huyooo Kanya boya huyooooooooooooooooo

  Dawa za kichina zinazouzwa pale Sokoni kariakoo kwa siri.
   
 14. v

  valid statement JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  ana umbo kama kachorwa.
  Huwezi badilisha uumbaji wa Mungu, kwa akili ambao Mungu huyu huyu kakupa
   
 15. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,101
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  sijaelewaaa nikwambaaa kafanyiwaaa operetion,aka tuleo jinsia ya m akawekewaa kitundu cha k...au,maana alivyo beaut,ukikutana nae kwenye mtungiii unangoaaa kabisaaaa
   
 16. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #16
  Feb 3, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu kweli dunia imeisha. kama kweli hadi Tanzania tumefikia stage hii!!
   
 17. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #17
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  weka na wewe tangazo lako la Kibiashara tulione.....
   
 18. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #18
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Mambo anayotaka Mzee Camerooooooooon hayoooooooooooooooooooooooooooo
   
 19. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #19
  Feb 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,607
  Likes Received: 4,600
  Trophy Points: 280
  Ukilewa hat kavu kavu akipita mbele ya macho yako unangoaaaa kabisaa kimwana wa nguvu huyooooooooooo Mtoto Si Rizki huyoooooooooooooooooo
   
 20. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #20
  Feb 4, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  he he he dunia imekwisha
   
Loading...