MAKUBWA - BBC wamerudisha issue ya 9/11

Nimeshindwa kufungua lakini ...kama ikidhibitishwa kuwa kweli ...hayo ni maajabu makubwa.

Nashangaa kwanini habari zitolewe sasa.
 
Is it part of USA campaigns? kwani nashindwa kupata tafsiri rahisi kuwa ni kwa nini imetolewa leo.
 
Azimio jipya,
Mkuu mbona mimi inafunguka?... ebu scroll chini utaona kuna mahala inasema see also.... fungua hizo..

Mpaka kieleweke,
Lakini waliotoa ni Waingereza! Je huwaamini BBC tena..
 
Swala hapa sio kuamini wala nini ila why today? wangeirusha wakati wa maadhimisho ya 9/11 ningeweza kuelewa kidogo but leo huku Iran ,USA, Israel wakizozana hapa kuna kitu bila shaka....
 
Wale wasioamini kuwa kulikuwa na conspiracy 911 basi wao ni MAFISADI!

Kwani wanajuwa politics zitabadilika na hakuna wa kuwatetea!

Bush mwenyewe kama si 911 alikuwa hata hawezi kwenda white house let it alone kupita kwenye mji wa Washington DC...Alikuwa akipigwa mayai viza na hakuna aliyetaka kumwona.

Lakini ghafla mara baada ya Mkasa wa 911..Aliwaondoa familia ya Bin Laden haraka haraka akawepeleka Saudi Arabia ambapo magaidi 16 kati ya 19 walitokea huko!

NB:Ni kweli kuwa kwasababu kuna vita a IRAN ambayo Bush amepania kwenda kabla hajaondoka madarakani!

Na hilo haliwapendezi kabisa wale walioamuwa kugeuza mawazo!

Na sasa wanaona ni heri watoboe siri kwani Bush ni kweli anataka kwenda Iran na sijuwi atazuliwa vipi!

THE SITUATION IS SO TENSE!

Baada ya hapo wananchi wakachanganikiwa na kuanza kumtafuta raisi ambaye awali walidhani hakushinda kihalali!

Mara baada ya hapo akasema ni IRAKI wa kulaumiwa..Watu wakadai...Ni kivipi tena Saudi Arabia imegeuka Iraqi?

Nilipowaambia CIA imegawanyika mlibisha?

Wana data zote na pia inasemekana Bin Laden mwenyewe kafichwa!
 
Azimio jipya,
Mkuu mbona mimi inafunguka?... ebu scroll chini utaona kuna mahala inasema see also.... fungua hizo..
Mpaka kieleweke,
Lakini waliotoa ni Waingereza! Je huwaamini BBC tena..
Kuna link nyingi za BBC zinafunguka kutokana na sehemu ulipo......link nyingi zinafunguka ukiwa America na Ulaya...
 
Jmushi, kusema kuwa wale wasioamini kuwa kulikuwa na conspiracy basi ni MAFISADI ,yawezekana unaandika ndipo unaanza kufikiri kwani hizo conclusion zako zinakuwa papo kwa hapo bila hata kushirikisha ubongo, sorry to say this but kila mara unakuwa unajichanganya changanya sana kama vile ubongo unashirikishwa baada ya maamuzi,.
 
Akuna kinachofumguka tusizinguane hapa yaani ni kiza kitupu.
 
Jmushi, kusema kuwa wale wasioamini kuwa kulikuwa na conspiracy basi ni MAFISADI ,yawezekana unaandika ndipo unaanza kufikiri kwani hizo conclusion zako zinakuwa papo kwa hapo bila hata kushirikisha ubongo, sorry to say this but kila mara unakuwa unajichanganya changanya sana kama vile ubongo unashirikishwa baada ya maamuzi,.

Sasa wewe unashtushwa na nini kwa taarifa hizo kutolewa sasa hivi?
Wewe MWINGEREZA?
Na wewe ndio una ufahamu wa kutosha wewe na WANGWE HUH?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom