Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,011
6,542
Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
 
Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwa Nini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
Rais Ni Tasisi ,ana Washauri na wanashelia wabobezi,yupo serikali MDA mrefu ,Sasa si kila kitu ni kubeza tuuu....( huwezi jua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gesi iliyopo kwetu bado tunainunua bei juu, badala watushushie ndio waipeleke kwa majirani kwa bei juu wao ni kukubali tu
 
Rais Ni Tasisi ,ana Washauri na wanashelia wabobezi,yupo serikali MDA mrefu ,Sasa si kila kitu ni kubeza tuuu....( huwezi jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii unayoongea ni Tanzania hii au sehem ingine. Taasisi hiyo hiyo ambayo awamu iliyopita huyu Rais alikuwa makamu (Rais) lakin sasa si unaona kama alikuwepo pale kama kivuli tu. Leo anapingana na mtangulizi wake na wakat huo huo mawazili hawa hawa kwa kiwango kikubwa ndo walikuwa kwenye serikali iyopita.. Wanasheria hawa hawa ndo wametuingiza chaka kila wakat kwa mikataba ya ovyo. Au wewe ni mgeni Tanzania?
 
Back
Top Bottom