Elections 2015 Makubaliano ya Jakaya na Lowassa na hatari ya Taifa kuanguka, Onyo kwa wajumbe wa CC

Last edited by a moderator:
Nashukuru Yeriko kwa kupoteza mda wako kuandika,sijui Ku copy kama hao wanaosema hivyo ,ila kikubwa naheshimu muda wako na pia kiasi Fulani nimepata kujua Historia ya vita vya Israel na Marekani ...na hili la Kivu ndio kabisa linaonyesha kwanini wanyarwanda walikua na chuki Sana juu yetu baada ya kupeleka vikosi vya m23 nashaangaa wanaosema Habari ni ndefu lakini hakuna series ambazo hawajaangalia
 
Kumradhi ni vita vya Israel na palestina
 
Ubarikiwe sana mkuu
 
Kumbe Jk na Lowassa ambao hawakukutana barabarani huko waliko kutana walitengeneza mambo mengi fake,kama walivyo kubaliana kuachiana urais bila idhini ya watanzania ambao ndio waajiri wao wa nafasi ya urais,makubaliano ambayo hayakuwa na Baraka za chama chao.

Ndiyo maana wameliingiza Taifa kwenye gharama kubwa kwa mikataba yao fake kwa kuwa wametoka mbali na mambo yao ya fakefake.
Utashangaa watu wanamkumbuka JK, lakini nfo aliechangia pakubwa nchi kuwa na mikataba ya kishenzi katika kuvuna rasilimali za nchi na uendeshaji wa makampuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom