Makubaliano ya CWT na serikali

walimu bana hivi ndoto hz hazikwishi tu?

haki hupiganiwa haiombwi pambafu zenu.
 
Serikali ya wp?Tanzania?Kikwete alisha sema walimu hataki kura zenu ss wapandishe madaraja ili iwe je?
 
Wameridhiana? Serikali ilikuwa wapi miaka 52 iliyopita? Sasa wanauona umuhimu wa kumlipa mwalimu mshahara badala ya posho? Na hili la mwl.kwenda likizo bila kupewa nauli wamelitazamaje?
Hakika, kama wataendelea kumkandamiza mwl. ili atoe matokeo dhaifu kwa manufaa ya ccm kupata kura wanajidanganya kwani wananchi wanjitambua sasa.
Na waache kujidanganya kuwa yaliyotokea Kenya hayawezi kujitokeza hapa na madhara yake ni makubwa mara dufu.
Hebu wabadilike hao watendaji wa wizara au wanamsubiria Lembeli na kamati yake waje kuwaanika bungeni na kutakiwa kuachia ngazi?
 
nmekusoma kaka' lakin habar hii n ya kwel'cjui ku2pia waraka nnao ngeuweka hapa'ila tuache ma2c wakat 2nachangia hayana mana kama unahacra rest a menute b4 attacking sb'
 
Back
Top Bottom