frenk julius
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 377
- 241
Wazir wa mambo ya nje?? Nje IP? Labda nje ya shimo
Do mnaota sana Siku hizi yaan huyo fala kaleta kabandiko kake na nyie kama mazuzu mnadiscus kitu kisichokuwepo .hao viongozi mnaowapa hayo mawazo hata hawaaminiani ila mnatak wanachana wa waamini kituko cha mwakaHapo watakua wamecheza kama pele, ni mwendo wa mgombea mmoja na serikali ya umoja kati ya CDM na ACT.
Tanzania yenu mnayoiota mtaiongoza kwenye ndotoKumekucha. Habari zilizovuja ni kuwa kuna makubaliano yamefanyika kati ya ACT na Chadema kuwa upande wa Zanzibar CHADEMA itaingiza nguvu zake kumsapoti Maalim Seif katika pambano la Urais nao ACT Wazalendo watawaunga mkono CHADEMA katika Urais huku bara kwa maana ya Serikali ijayo ambayo kimahesabu itaundwa na Lissu iwe ya ushirikiano na Membe ambaye hatagombea tena abaki kama mshauri wa Lissu kwa sasa na baadae kuja kupewa Wizara ya Mambo ya Nje kwani huko amebobea.
Hakika mambo ni mengi muda mchache. Ila yako Bambam. Naiona Tanzania ya furaha kwa mbaaaali inakuja.
Don't waste your time na uchafu, rais ni Dkt Magufuli 2020-2025.
Hata Lissu mlisema hatorudi, mwaka huu jiandaeni kisaikolojia, kila mnachodhani hakiwezekani kinakwenda kufanyika.Do mnaota sana Siku hizi yaan huyo fala kaleta kabandiko kake na nyie kama mazuzu mnadiscus kitu kisichokuwepo .hao viongozi mnaowapa hayo mawazo hata hawaaminiani ila mnatak wanachana wa waamini kituko cha mwaka
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Ccm bhana! TLP imeungana na CCM, Mrema mtampa cheo gani?
Itakuwa poa sana.Kumekucha. Habari zilizovuja ni kuwa kuna makubaliano yamefanyika kati ya ACT na Chadema kuwa upande wa Zanzibar CHADEMA itaingiza nguvu zake kumsapoti Maalim Seif katika pambano la Urais nao ACT Wazalendo watawaunga mkono CHADEMA katika Urais huku bara kwa maana ya Serikali ijayo ambayo kimahesabu itaundwa na Lissu iwe ya ushirikiano na Membe ambaye hatagombea tena abaki kama mshauri wa Lissu kwa sasa na baadae kuja kupewa Wizara ya Mambo ya Nje kwani huko amebobea.
Hakika mambo ni mengi muda mchache. Ila yako Bambam. Naiona Tanzania ya furaha kwa mbaaaali inakuja.
Kumekucha. Habari zilizovuja ni kuwa kuna makubaliano yamefanyika kati ya ACT na Chadema kuwa upande wa Zanzibar CHADEMA itaingiza nguvu zake kumsapoti Maalim Seif katika pambano la Urais nao ACT Wazalendo watawaunga mkono CHADEMA katika Urais huku bara kwa maana ya Serikali ijayo ambayo kimahesabu itaundwa na Lissu iwe ya ushirikiano na Membe ambaye hatagombea tena abaki kama mshauri wa Lissu kwa sasa na baadae kuja kupewa Wizara ya Mambo ya Nje kwani huko amebobea.
Hakika mambo ni mengi muda mchache. Ila yako Bambam. Naiona Tanzania ya furaha kwa mbaaaali inakuja.
Waulize watu wa Mali..dunia imebadilikaDon't waste your time na uchafu, rais ni Dkt Magufuli 2020-2025.
Tayari eshapewa ni mwenyekiti board ya paroleCcm bhana! TLP imeungana na CCM, Mrema mtampa cheo gani?
hayo ni maoni yako na yaheshimiwe, mie binafsi nitampigia kura TL!.Don't waste your time na uchafu, rais ni Dkt Magufuli 2020-2025.
Kumekucha. Habari zilizovuja ni kuwa kuna makubaliano yamefanyika kati ya ACT na Chadema kuwa upande wa Zanzibar CHADEMA itaingiza nguvu zake kumsapoti Maalim Seif katika pambano la Urais nao ACT Wazalendo watawaunga mkono CHADEMA katika Urais huku bara kwa maana ya Serikali ijayo ambayo kimahesabu itaundwa na Lissu iwe ya ushirikiano na Membe ambaye hatagombea tena abaki kama mshauri wa Lissu kwa sasa na baadae kuja kupewa Wizara ya Mambo ya Nje kwani huko amebobea.
Hakika mambo ni mengi muda mchache. Ila yako Bambam. Naiona Tanzania ya furaha kwa mbaaaali inakuja.
Kule Zenj, ACT ina nguvu sanaaa haihitaj support ya Chadema.
Tz Bara watagawana nafasi baadhi ya miaka CDM mingine ACT.
ACT wakichanga karata vizuri wanaenda kuwa chama kikuu cha upinzani na kuongeza ruzuku yao..
Zitto achague, wamuweke Lissu wao wafulie( kumng'oa JPM na CCM kwa sasa ni ngumu) AU wapambane kivyao bila CDM wawe chama kikuu cha upinzani.
Hapa tutamuona Zitto akili yake. Kumbuka pia Zitto aliitwaga msaliti alishatimuliwa kule CDM.
Hapa patamu sana.
Kuitwa msaliti siyo hoja, hata lowassa aliitwa mwizi na msaliti lakini alirudi kulekule walikomtukana, kila chama kinahitaji sapoti kila upande japo hili jambo wanalijua wenye hekima tu. Wenye hekima wanaamini katika kukusanya kura pamoja badala ya kuzitawanya.
Hilo ndo tatizo sasaNi kweli lazima wafikiri kuzikusanya . La kuzingatia unayeshirikiana nae kuzikusanya yupo vipi???
Hakuna mutual benefits. Kila mtu anawaza tumbo lake kupitia mgongo wa wenzie.