Maktaba yangu ya nyumbani

Vitabu vyangu vingi ni non fiction,political economy na History.Hata mimi nimeikuta hyo tabia ya kusoma soma kwa mzee,nakumbuka back in late 90s tulikua tunaenda posta ya mkoa fulani kuchukua Foreign Policy magazine!!

Nami natengeneza yangu ila viko scattered na ni vichache tu kwa sasa:

1: Winner Take All,Dambisa Moyo
2:Business Stripped bare,Richard Branson
3:Maisha na Nyakati za Abdulwalid Sykes,Moh'd Said
4:Dead Aid,Dambisa Moyo
5: Russian Revolution nimesahau author
6:African origin of Western Civilization,Cheikh Diop
7:Book of Romance,Thomas Neeson
8:protect and defend,Vince Flyn
9:Gideon's spies,author nimemsahau
10.Modern Microeconomics author nimesahau
11.Man and Development JK Nyerere
12.Relevance of How Europe Underdeveloped Africa,Karim Hirji
13.Richest Man in Babylon
14.Think and grow rich, Napolean Hill
15.Cash Flow quadrant,Kiyosaki
16.Rich Dad, Poor Dad Kiyosaki
17.Miracle of Seed faith,Oral Roberts
18.Can America Survive, John Hagee
19.Kitabu cha Sugu
20.etc

Pia kuna vitabu vya mzee navyo ntaviiba from home library.
 
Mkuu ulitumia muda gani kukusanya huo utirio

Nilianza 2007 mkuu. Kuna wakati British Council walifunga maktaba yao waliuza vitabu vingi kwa bei nzuri sana. Hiyo nayo ikaniwezesha kupata vitabu bwerere. Duka langu kubwa ilikua pale steers Novel idea.
 
Duh

Huna shelf babu?

IMG_20191205_163552_540.jpg


Mwamba japo huku ni kambini tu gheto ila hii kauli nikiifanyia kazi. Embiti etini kungwi geni
 
Back
Top Bottom