Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,177
- 3,316
Kabisa. Watu wengi wanachukulia poa vitabu hawatunzi. Yaani kwao siyo kitu cha maana.Sina uchoyo wa vitu isipokua kwenye vitabu. Ukihitaji ntakwambia njoo usome nyumbani ukimaliza kiache. Na sababu ni kwamba, mwingine atapata mhemuko anakuomba kitabu hata kama hata kisoma na hakirudishi.
Pili unaweza kubahatika mtu akakirudisha lakini utunzaji tunatofautiana, kitabu kinarudi lakini unakikataa kwamba sio chenyewe kwa jinsi kilivyobadilika rangi na muonekano, hapo sijaongelea wale wanachora au kuweka highlighter kwa maandishi.